Aloreiya
Member
- May 7, 2014
- 80
- 34
Yan inasikitisha kwa kweli., utamkuta mama mpk saa nne asubuh hajaamka na ana mtoto mdogo. Na hata hajaanda breakfast ya mwanae na hana mpango huo kila siku sasa sijui bajeti ama ni nn. Hapo mtoto akiamka anaanza kusumbua next door kuomba chai tena kila siku, akinyimwa hapa anaenda pengine.
Maisha ya dar yalivyo magumu ww kama huna na mwenzio pia hivyo hivyo na kama unacho usiwe mvivu kumuandalia mtoto wako unamwacha mpk saa nne bila hata ya kikombe cha uji.!!!
Sio vizuri kina mama tuache uvivu na tuache bajet kali kwan mtoto akiamka ukimpa kichai na kiandaz kimoja anaridhika. Badilikeni bana aaaaarrgh