Umenipa maswali mengi sana
Hahaha pole hebu niambie hayo maswali nkusaidie kujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenipa maswali mengi sana
Hahaha pole hebu niambie hayo maswali nkusaidie kujibu
Naamka alaf nalala tena
ukiamka pika kabisa
1. Labda unatumika sn usiku!
2. Labda visimamo!
3. Labda umejiajiri!
4. Labda huna ajira!
5. Labda mvivu!
6. Labda usingizi wa samaki pono!
7. Labda huna mtoto!
Hahahah hilo la kupika halinisumbii kabisa huwa napenda ndani muwe na chakula chochote hata akiamka mtu usiku na njaa anakula tu hivyo watakao amka kabla yangu hawatokaa na njaa....
Na usafi usiku nahakikisha hakuna vyombo vichafu na nyumba ipo katika hali ya usafi sasa hapo aje mtu aniamshe naweza nkammeza lol
ila ni vizuri mke kumuamsha mume na sio mume kumuamsha mke
Sasa hata akiamka saa 12 hakuna cha kumuandalia mtoto afanyeje? Ndio anajikausha ili mtoto ajiongeze.
Majibu kutokana na namba za maswali...
1)hahhahaha la kwanza wacha nkanywe maji kwanza mana gumu hatari.....
2)ndio mana kazi zote za ndani kila kitu nafanya mwenyewe na nyingi za kusimama kama kupika labda nisaidie na baba watoto..
3)ndio
4)ndio
5)hapana katika watu wavivu unitoe kabisa sina hio ila
6)sio wa samaki pono ila wa binaadamu tu kulala ndio starehe yangu
7)mtoto nnae....
Natumani nimejibu vizuri lol
mwe! Ya mwanamke kuamka zaidi ya saa2 asbuhi, ratiba yake huwa sio hasahasa ukiwa na mtoto mdogo. Hiyo saa4 hata kitanda hutandikwa? Mara mchana ushaingia.
Inategemea unajipangaje
me ndio naamka mda zaidi ya hiyo na mtoto mdogo chini ya mwaka nkiamka
kila kitu kinaenda sawa nashkuru
Huhuhu mwenzenu mambo ya kuamka alfajir hasa siyawezi nimeamka mapema basi saa tatu
ndo kila siku hakuna cha kumuandalia huo muda wa kulala si bora akatafute hata kibarua