Mwanamke unalala mpaka saa nne asubuh huku mwanao yuko nyumba za watu kila siku akidowea chai

Wanawake wa namna hiyo unakuta hata kusafisha nyuchi zao wanaona uvivu....na matokeo yake unakutana msitu wa shengena na harufu ya panya kafwaaaaaa........................
 
kwa kweili nna mashaka na wadada/ wamama wa siku hizi. Ni wavivu balaa.
wao ni kula kulala tu. kwanza mimi binafsi sipendi mwanamke mvivu.
 
Mi pia yalinikuta hayo.....mama anajilaza na anajua anamtoto, nikaona isiwe tabu nitakamwambia dada wangu apike na akiba ili tusiwe tunamkasirikia mtoto wakati ni ujinga wa mama yake. Akija anapewa chake anakula anaondoka kafurahi na sisi hatujakwazika.........
 
Somo ake nimekupenda bureee, unanifaaa hasaa
 
afu siku unakuja hapa kulalamika kuwa mumeo anachepuka ntakushangaa

Achepuke kisa nachelewa kuamka? Labda atakua ameamua tu nyie wanaume hata mpewe nini mkiamua kuchepuka mnachepuka tu.....nijikurupushe nijitese ati kisa mwanamme asichepuke hapana iyo kitu
 
Achepuke kisa nachelewa kuamka? Labda atakua ameamua tu nyie wanaume hata mpewe nini mkiamua kuchepuka mnachepuka tu.....nijikurupushe nijitese ati kisa mwanamme asichepuke hapana iyo kitu
sasa wewe farkhina mpaka uamke saa nne umelala saa ngapi au usiku ndio unakuwa unashughulika hapo ntakuelewa
 
sasa wewe farkhina mpaka uamke saa nne umelala saa ngapi au usiku ndio unakuwa unashughulika hapo ntakuelewa

Hata nilale mapema kuamka huwa nachelewa kulala ndio starehe yangu duniani....
 
Uswazi hilo swala ni bajeti pia...

Tena baadhi ya wazazi wanawaambia kisiri nendeni kwa kina flani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…