Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Habari waungwana,

Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi sana.

Nasema ni upuuzi kwasababu ukiwa na akili timamu ni ngumu kuhimili mapenzi kwa muda mrefu. Kikawaida ishu za mapenzi ziko kihisia zaidi ndo maana akili haipati nafasi za kimaamuzi. Maamuzi mengi yanafuata hisia. Kwahiyo yeyote anayependa ajijue kabisa ana uwendawazimu wa kutosha. Mimi pia ingawa nimejaliwa akili nyingi sana ila nikiingia huko nauvaa uwendawazimu ili mambo yaninyookee.

Tunajua wakina dada wakifika umri fulani huhitaji sana kuolewa hivyo huingia kwenye mahusiano purposely kupata ndoa. Ni jambo jema na la heri. Ila mimi ninakerwa sana na tabia ya wadada kutokuwa na subira. Yaani wanakuwa ni watu wa kufosi mambo. Utakuta kila baada ya miezi sita (6) anakumbushia kuhusu kuolewa.. hadi mwanaume muoaji anapata stress. Mimi mtu akinikumbusha mara tatu mfululizo (yaani miezi 6 × 3) tayari namuona hana subira na ana nia ovu. Wadada kuweni na subira maana yavuta heri.

1625206196527.png

 
Ila hata Allah katka Qur'an anasema kumbusha, hakika ya huo ukumbisho unaweza leta manufaa.
 
Habari waungwana,

Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno k
Umejiita mwenyewe akili nyingi na bado mwanamke anauliza kuhusu ndoa! Ungekuwa na akili kama unavosema asingepata ata nafasi ya kuuliza huo upuuzi maana kama Alpha man ungetambua jinsi yakuendesha ilo boat, ukiona mwanamke anakuuliza kuhusi ndoa jua kaona driver anakosea njia au hajui kuendesha anachofanya nikupata uhakika kama unajua unapoelekea.

MAPENZI NI UGONJWA WA AKILI.
 
Vijana wa sikuhiz ni wasaulifu ivo kukumbushia muhimu...usipofanya ivo utashangaa kakusahau kaoa mwingine.
 
Vijana wa sikuhiz ni wasaulifu ivo kukumbushia muhimu...usipofanya ivo utashangaa kakusahau kaoa mwingine.
𝙷𝚒𝚒 𝚊𝚟𝚊𝚝𝚊𝚛 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚗𝚊𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚊𝚗𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚗𝚊 𝚖𝚝𝚞 𝚏𝚞𝚕𝚊𝚗𝚒 𝚑𝚞𝚔𝚞 𝚞𝚜𝚑𝚒𝚛𝚘𝚖𝚋𝚘 🤔
 
Back
Top Bottom