Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

Kwa hiyo katika hiyo miezi sita asikumbushie ndoa na wewe mchezo hupewi?ama akikumbushia ndoa anaonekana ana nia ovu lakini kuzini nae ni kwa nia njema?

Intro ya uzi umeandika kama una akili vile kumbe ni 💩💩
Funga ndoa acha uzinzi
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Wenzetu wanaoana,

Bongo Kuna kuoa na kuolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…