Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh sio kweli kwa hiyo sie wanaume vitanda vyetu ndio halali kuleta wanawake ..?CHUMBA CHA MTOTO WA KIKE KINA STAHA YAKE JAMANI HATA KAMA UNAHUDUMIA KILA KITU.
LEO NA KESHO TUMEBWAGANA NTASHINDWA KUMLETA MWENGINE KULINDA HESHIMA YNG MTAANI ILA KWA WANAUME NI POA TU (MWANAUME HAITWI MALAYA ) SO KAMA KAMA UNATAKA UHURU WA KUGARAGARA KITANDANI BORA UOE KABISA.
Umeongea kwelii kabisaaaaNi sawa, but what difference does it make kama ni huyo huyo? Hivi mkijifungia ndani mnapiga story for 4 hours, wafikiri sisi tulio nje tunajua mnapiga story? unajifurahisha tu ndugu, weka msimamo asije kabisa na msisex ndo nitakuelewa.... nyingine zote ni kuvaa mask tu.
Tena mie nakugegeda humo chumbani kwako halafu nikiondoka unafua hayo mashuka.Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu
Acha unafki. Kufukua makaburi ya wenzako. MxiuuTena mie nakugegeda humo chumbani kwako halafu nikiondoka unafua hayo mashuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha adabu heshima na mazingira nayoishi pamoja na majirani zangu,....unawafunza nini haswaaa watoto wa umo ndani na wasichana kumbuka heshima ni ki2 cha bure.Kwani ukifanyia kwingine inakua imebadilika au ukifanyia kwako inapanda thamani
hahahaaaaaaaaaa....Namaanisha adabu heshima na mazingira nayoishi pamoja na majirani zangu,....unawafunza nini haswaaa watoto wa umo ndani na wasichana kumbuka heshima ni ki2 cha bure.
Huna akiliKuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu
Yaani kidume alipe kodi alafu umnyime kula hiyo mbususu hapo anapolipia kodi...aisee wanawake mnamaajabu yenu 🤣🤣🤣🤣Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu
Haiwezi tokea sababu hakuna jipya na wanajua mko wengi.Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.