Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

na ndomana kila umpatae anakuacha unakuja uku jf unasema unamapenzi ya dhati ila umpati mwanaume mwenye mapenzi ya dhati hi yote inatokana na ww kuwa vitabia vyako na vimisimamo vyako vya ajabu ajabu visivyokuwa na kichwa wala miguu kwa style hii utaendelea tuu kulalamika kwnye mapenzi cku zote ww mtoa mada mana bado ujajielewa.sbb mtu awezi akakulipia nyumba nusu upande let say 200k kwa mwezi afu aje kwako akitaka sex na ww umgomee uanze sema eti tutasex kwako na c hapa kwngu sasa kwa akili tu ya kawaida unazani mwanaume anajenga picha gani kwako afu utake mapenzi ya dhati utapigwa kurunge daily na kuachwa ndoa utaisikia kwnye bomba........
 
Sasa utajua basi kama nitakugegeda, utajishtukia tu tayari
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Unatakiwa mkubaliane tu hamna shida maana mapenzi ni furaha yanataka kila mmoja awe na furaha ndio mta enjoy
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Unapenda kusex kwenye ma guest house we ni malaya au. Kwani hao wenzio wanaoishi na wapenzi wao kupika na kupakua wanatiana guest? We umeathirika na biashara ya ukahaba.
 
Sasa kibaya nini hapo kama ni mpenzi wako?
Kama ni mtu wa kutulia kwenye uhusiano mmoja sioni mbaya kabisa kusex kwangu! Sipendi mambo ya gesti na kufanyia kwake kila siku kutaniboa... Na sometimes nipo huru zaidi nikiwa kwangu!
Key word hapo Paprika ni kutulia na mtu mmoja. Utakuta masharti haya pengine ni mtu wa wanaume wengi ndio maana labda anaogopa fumanizi. Otherwise msimamo wa hivi ni wa ajabu sana hata kama ingekuwa halipiwi kodi..something is seriously wrong somewhere
 
Sasa kama mimi nilienda nyumbani kao nikaingia room kwake akapika na menyu nikala kisha nikamgegeda na nduguze wakiwepo bila kujua chochote na muda wa kutoka nikapitia mlango wa uwani sembuse hapo kwenye kighetto chako tena ndio nakulipia kodi kabisa.

Yani hapo unagegedwa na nikichoka nalala kabisa. Nikiamka nagegeda tena na nitaondoka siku ninayotaka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
CHUMBA CHA MTOTO WA KIKE KINA STAHA YAKE JAMANI HATA KAMA UNAHUDUMIA KILA KITU.
LEO NA KESHO TUMEBWAGANA NTASHINDWA KUMLETA MWENGINE KULINDA HESHIMA YNG MTAANI ILA KWA WANAUME NI POA TU (MWANAUME HAITWI MALAYA ) SO KAMA KAMA UNATAKA UHURU WA KUGARAGARA KITANDANI BORA UOE KABISA.
 
Unapenda kusex kwenye ma guest house we ni malaya au. Kwani hao wenzio wanaoishi na wapenzi wao kupika na kupakua wanatiana guest? We umeathirika na biashara ya ukahaba.
Watu wengine vichwa vyenu vipo empty.

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Super women 2 unaona aibu. Nadhan inatokana na kutokuwa na uhakika kuwa mwanaume ulyenaye utadumu naye
Na hii ndo inawafanya madogo wengi kutokuwa na imani na wenza wao....wakati mwingine mwanaume huwa anazuga kama anataka kwenda kulala kwa demu ili aone itakuaje na mwanamke akikubali atakuja siku moja kama sehemu ya kukupima kama upo huru (au kwa kuwa umekubali kwa moyo mmoja atazua dharula haji na atakupeleka kwake)...wanaume wengi huwa hatupendi kulala kwa demu japokuwa tunapenda mwanamke ambae yupo huru kwenda kwake pasipokujishutikia na hicho ndo kigezo cha kujenga imani japokuwa bado nawatetea kina dada sio kila mwanaume unaempata unampeleka nyumbani vinginevyo kuna stagesza mahusiano
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Unabahatika kuwapata walionaudhaifu Wa kukuchuchua

Kwangu tutapiga story poa lkn utajukuta umeomba game mwenyewe bila kulazimishwa na game yake lzk iwe amazing ili uikumbuke na utakuwa unaniita tu nije nkutie kwako huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Nimekuelewa mwaya nimaamuzi tuu,na lazima yaheshimiwe...
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Ila kweli,kuleta wanaume chumbani kwake siyo picha nzuri, kama yupo na men wake mmoja fresh tu,jamaa anaweza akawa anatinginyua zigo hapo hapo room kiroho safi
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Kwani ukifanyia kwingine inakua imebadilika au ukifanyia kwako inapanda thamani
 
Back
Top Bottom