Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

kwan demu nikisex nae kwake kuna shida gani....AU MASHINE HAIPITI?
 
Mh sio kweli kwa hiyo sie wanaume vitanda vyetu ndio halali kuleta wanawake ..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo mada nimechelewa !! Ex wangu nilikuwa naenda geto kwake alikiwa anaishi na dada yake ... Yaani nilikuwa amtafuna kwa kujishitukia lkn yy alikuwa comfortable yaan alikuwa ananiweza sana sometimes ananipigia simu "naumwa homa njoo nipeleke hospital ..." nikifika tu Doh anataka game ....therefore Kpkote kambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mwanamke hataki mfanyie sex kwake,tambua kwamba kuna mwenzako ambaye huwa anakuja kufanyia hapo hivyo anaogopa majirani kumuona kua amezidi uzinzi.

Pia ogopa sana wanawake ambao ukienda kwake anaingiza viatu au open shoes ndani na anavificha huku wewe ukiwa chumbani,wengi ni multi-partners orinted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa hauheshimu makazi yako unayaondolea kabisa baraka
 
Umeongea kwelii kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiachana na mwingine umlete hapohapo tena duu patakuwa danguro hapo mtaani majirani watakuona Shangingi
 
Tena mie nakugegeda humo chumbani kwako halafu nikiondoka unafua hayo mashuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukifanyia kwingine inakua imebadilika au ukifanyia kwako inapanda thamani
Namaanisha adabu heshima na mazingira nayoishi pamoja na majirani zangu,....unawafunza nini haswaaa watoto wa umo ndani na wasichana kumbuka heshima ni ki2 cha bure.
 
Huna akili
 
Yaani kidume alipe kodi alafu umnyime kula hiyo mbususu hapo anapolipia kodi...aisee wanawake mnamaajabu yenu 🤣🤣🤣🤣
 
Haiwezi tokea sababu hakuna jipya na wanajua mko wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…