Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

Kwa hiyo wewe unataka ukachafue mashuka kwa mwenzio halafu uondoke? Basi inawezekana wewe ni mvivu wa kufanya usafi!! Tena ukome Kabisa.
Kwani mimi dry clean [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Been tryna hide it
Baby, what's it gonna hurt if they don't know?
Makin' everybody think that we solo
Just as long as you know you got me (you got
me)
And boy I got ya
'Cause tonight I'm making deals with the devil
And I know it's gonna get me in trouble
Just as long as you know you got me
 
Anawapata wa Kolomije. Mkolomije analipa kodi halafu anapigwa masharti kwamba sex hapa marufuku. Hii ni janja ya huyu mtoa mada ili mchepuko toka born here here town upate nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo sina mda wa kuwa na Mario
 
Tatizo wanaume wajinga wa aina hiyo hawapo! Eti akulipie kodi ya chumba then akagegedee ugenini hapana!

Na kama watakuwepo basi wamelogwa itabidi wapelekwe kwa mzee wa dude pale ubungo.
Kumbeee
 
Acha upuuuz wewe... Huna ata aibu? Yaan ad mtu wako unamfanyia mtimanyongo? Mwanamke una roho mbaya wewee lohh... Ufeee! [emoji57] [emoji57]
 
Reactions: SDG
Mwanaume kamili unaanzaje kulala na mwanamke kwake?hatakama unamlipia kodi bora ukajiachie hotel kama kwako mazingira magumu
Wanaume wote wangekuwa kama wewe mbona ingekuwa afadhali. Wanaolia kisa kodi ni wanaume suruali
 
Kweki eee
 
Reactions: SDG
Mimi kwa kweli sioni tabu yoyote ya mpnz wangu nami kusex ndani kwangu au kwake,tabu inakuja kama una wengi kwako panakua kama danguro ila kama una mmoja kiroho safi
Kama anakuja akakaa mda mwingi. Hao wengi. Nawaweka wapi dear
 
Mkuu.....
Ebu tuache kua tuna danganyana mubashara.
Alafu ujue minakuheshimu sana aiseeeee.........
Hizi ni mada za wavulana na wasichana...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Inawezekana cha kupigia picha mkuu
 
Mimi Nikikupangishia Sehemu Na Kitanda Nkakununulia Heheheheh! Dada Yangu, Abort Mission, I Repeat Abort Mission!Hadi Itafuka Moshi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo sio mapezi ni kukomoana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…