Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

Kwa hiyo wewe unataka ukachafue mashuka kwa mwenzio halafu uondoke? Basi inawezekana wewe ni mvivu wa kufanya usafi!! Tena ukome Kabisa.
Kwani mimi dry clean [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Been tryna hide it
Baby, what's it gonna hurt if they don't know?
Makin' everybody think that we solo
Just as long as you know you got me (you got
me)
And boy I got ya
'Cause tonight I'm making deals with the devil
And I know it's gonna get me in trouble
Just as long as you know you got me
 
Anawapata wa Kolomije. Mkolomije analipa kodi halafu anapigwa masharti kwamba sex hapa marufuku. Hii ni janja ya huyu mtoa mada ili mchepuko toka born here here town upate nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo sina mda wa kuwa na Mario
 
Tatizo wanaume wajinga wa aina hiyo hawapo! Eti akulipie kodi ya chumba then akagegedee ugenini hapana!

Na kama watakuwepo basi wamelogwa itabidi wapelekwe kwa mzee wa dude pale ubungo.
Kumbeee
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Acha upuuuz wewe... Huna ata aibu? Yaan ad mtu wako unamfanyia mtimanyongo? Mwanamke una roho mbaya wewee lohh... Ufeee! [emoji57] [emoji57]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwanaume kamili unaanzaje kulala na mwanamke kwake?hatakama unamlipia kodi bora ukajiachie hotel kama kwako mazingira magumu
Wanaume wote wangekuwa kama wewe mbona ingekuwa afadhali. Wanaolia kisa kodi ni wanaume suruali
 
Mapenzi siyo sex tu, iwapo tuko kwako tumejadili mengi yanayotuhusu with kutomasana na mlango umefungwa, hayo ni mapenzi hitimisho ni sex. Waliotuona twaingia kwako akili zao zimeamini tendo tumelitenda, why sex tuhame? Do not depreave acha jamaa akamatie chini tu.
Kweki eee
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi kwa kweli sioni tabu yoyote ya mpnz wangu nami kusex ndani kwangu au kwake,tabu inakuja kama una wengi kwako panakua kama danguro ila kama una mmoja kiroho safi
Kama anakuja akakaa mda mwingi. Hao wengi. Nawaweka wapi dear
 
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
Mkuu.....
Ebu tuache kua tuna danganyana mubashara.
Alafu ujue minakuheshimu sana aiseeeee.........
Hizi ni mada za wavulana na wasichana...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kuna mwanamke niliwahi kuwa naye Kama 1year ago, anapenda sex, gesti hataki wala hotelini.
Chumba nalipia kodi Mimi, sasa Huyu mtafanyia wapi mapenzi??

Akili za wanawake mnazijua wenyewe.
Usikute Huyu anayesema hivi chumba na kila Kitu kalipiwa na mwanaume.
Ndio Maana mnakimbiwa. Ninapokulipia chumba namaanisha hiyo ni nyumba niliyopanga nyingine kwa huduma zangu.
Sasa sijui wewe utakuwa umegeuza cha kupigia picha!! [emoji3][emoji3]
Inawezekana cha kupigia picha mkuu
 
Mimi Nikikupangishia Sehemu Na Kitanda Nkakununulia Heheheheh! Dada Yangu, Abort Mission, I Repeat Abort Mission!Hadi Itafuka Moshi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo sio mapezi ni kukomoana
 
Back
Top Bottom