Bambii
Member
- Dec 14, 2015
- 37
- 56
Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.
Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.
Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.
Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu