Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Halafu kwa hii kesi kama yako bado kuna wanawake watasema WANAUME WOTE NI SAWA[emoji12] [emoji12]

> cha msingi mfuate dadako umwambie akufundishe namna ya kumpenda.
 
Thank you
Thank you
Thank you !!moyo wangu umejiskia kuinuka mno baada ya kusoma ushauri wako. Help me Oh God, to see how blessed I am, teach me to reciprocate my husband's love.
You are truly heaven sent
Pamoja sana
 
Yaani unamshauri mwenzio avunje ndoa
Yap..ahalalishe tu kimsingi hapo hakuna ndoa.Ndoa ni mapenzi..mapenzi ni hisia kati ya wawili..hapo hakuna hisia na kama umeme hapo hauwaki au unawaka kwa mgao.
 
Back
Top Bottom