Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

As Bad as it sounds ndivyo hasa anatakiwa kukufanyia hivo, kutikisa akili yako tu makusudi and never putting your mind at rest! Awe haeleweki kabisaa then from there utapata kujua kuwa aliyokuwa anakufanyia ni ya kuthaminiwa sana! Kimsingi hili hurudisha akili za wasichana wengi ambao wanaona wana deserve kufanyiwa favors bila kuonesha shukurani!
Nadhani kuna kitu hujakielewa hapa, mimi na huyu mtu hatuna uhusiano wa kimapenzi yaani tulianza kuzoeana kama kaka na dada (ni homeboy) na hii kwamba ananipenda kivingine nimegundua siku za karibuni tu na siku za nyuma wala hakuwahi kuonyesha hizo dalili nimegundua mwaka jana na tunafahamiana miaka mingi...usidhani nafurahia hii hali ndio maana najitahidi kwa sasa kukaa nae mbali
 
Nawafahamu ambao hawana pesa na wameshibana na wanafurahia ndoa vyema tu. Tatizo ni misingi tu na malezi.
Thats true na mapenzi ambayo pesa haijayatawala kwa sehemu kubwa huwa yanakuwa na amani sana, najiulizaga hivi wale jamaa wanaooana kijijini wengine hawajasoma kabisa mbona wana peace of mind sana na maisha yao yanakwenda poa! Mtu ana mke na watoto wake kadhaa anaenda shamba anarudi mke anaenda sokoni anarudi anapika watoto wanakula vizuri with extreme happiness wazazi wanafarijiana mambo yanaenda poa tu! Hata wakila dagaa mlenda kwao dua tu! Sasa nyie wa mjini mnaoaminika mmesataarabika na wasomi mnakosea wapi?
 
Nadhani kuna kitu hujakielewa hapa, mimi na huyu mtu hatuna uhusiano wa kimapenzi yaani tulianza kuzoeana kama kaka na dada (ni homeboy) na hii kwamba ananipenda kivingine nimegundua siku za karibuni tu na siku za nyuma wala hakuwahi kuonyesha hizo dalili nimegundua mwaka jana na tunafahamiana miaka mingi...usidhani nafurahia hii hali ndio maana najitahidi kwa sasa kukaa nae mbali
Hio approach nzuri, mteme tu kidizaini ataelewa!
 
Sisi tunapenda pesa zaidi.
Thats true na mapenzi ambayo pesa haijayatawala kwa sehemu kubwa huwa yanakuwa na amani sana, najiulizaga hivi wale jamaa wanaooana kijijini wengine hawajasoma kabisa mbona wana peace of mind sana na maisha yao yanakwenda poa! Mtu ana mke na watoto wake kadhaa anaenda shamba anarudi mke anaenda sokoni anarudi anapika watoto wanakula vizuri with extreme happiness wazazi wanafarijiana mambo yanaenda poa tu! Hata wakila dagaa mlenda kwao dua tu! Sasa nyie wa mjini mnaoaminika mmesataarabika na wasomi mnakosea wapi?
 
Pole mamito watu wa hum wazoee tu yaani wao wanajua kila kitu..chochote kinachosemwa kinyume na kile wanachokijua wao ni uongo
'She is a big liar' you don't have to accuse me or judge me. If you dont have anything to help just brush it off.
Ndugu hunifahamu wala sikufahamu. Nidanganye ili iwaje? Nini faida ya kudanganya hapa?
Nimesema na nimejiongelea binafsi kile ninapitia. Nina makosa yangu nimefanya ninaloangalia ni kuyasahihisha.
 
Nimejikuta nasoma komenti zote na kusikitika tu. Mwanaume mwenzangu popote ulipo, kamwe usiihangaishe akili yako kumjua Mwanamke. Atakavyokuja we mpokee hivyo hivyo tu, ndio maana tunazidi kufa tu
 
My dear ulikosea sana tangu pale ulipoamua kuolewa nae. Mimi pia hali hiyo imeshanikuta...kuna huyu kaka ananipendaga, hajawahi kunitamkia hivi seriously ila matendo yake yanaonyesha waziwazi mwanzo tulikuwa kama kaka na dada tu ila huwa ananisaidia sana, ananijali shida yangu anaibeba kama yake, asione nna shida atafanya juu chini anitatulie japo hana pesa kihivyoo ila ni mchakarikaji na vijisenti vya hapa na pale havimpigi chenga. Anajitahidi kunionyesha mapenzi ila mimi hajawahi kunishtua hata ubongo yani simpendiii yaani akinihug kikawaida hivi labda tuseme tunasalimiana najinasua fasta natamani nimsukumie kule, hapa ndio najua si kweli kwamba mwanamke anaweza akawa na mahusiano na mtu kwajili ya pesa tu..lazima kunakuwa na tumapenzi japo kiduchu hata siku moja pesa haiwezi kununua mepenzi trust me.
sasa naona hata tumapenzi huyu hana kabisa
 
Ninachoangalia je huyu mwanamke anaweza kubeba na kunisindikiza katika kutimiza kusudi langu nililoletewa hapa duniani naoa, sina muda huo wa kutafuta kupendwa kama ninavyompenda akiniheshimu tu imetosha. Hawa alitolewa kwenye ubavu wa Adam lakini bado hakumpenda kwa dhati akamsaliti mchana peupe na kumkosesha adam na MUNGU sembuse wewe tuliyekutana mbagala. Kuna muda tunawapenda sana kwa sababu ya tabia na mienendo yenu kuwa mizuri ila sio kwamba ni wazuri kuzidi hao wengine. Ukipendwa tulia, hakuna mwanaume mwenye hisia na mwanamke mmoja tu ni vile tunawaheshimu.

Umeongea ukweli mchungu....... Huu ndio uhalisia wa Mwanamume.
 
Back
Top Bottom