mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Mnaendeshwa na hisia na siyo uhalisiaTumekosa nini sasa jamani hee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaendeshwa na hisia na siyo uhalisiaTumekosa nini sasa jamani hee
Una miaka mingapi kwenye ndoa? Kabla hamjaona mlifahamiana kwa muda gani? Nataka nikupe ushauri sahihi'She is a big liar' you don't have to accuse me or judge me. If you dont have anything to help just brush it off.
Kwa case hii sijatoa solution. Mtoa mada ana Uhuru either apritend au aweke tu wazi kiwa hafurahii mahusiano. Aanze ambeleSasa boss kwa case ya mtoa mada akiwa real unadhani hii ndoa itamaliza hata mwaka bila Divorce? Nina hakika hata sex inampa tabu sana ku cope nayo maana hampendi jamaa na hela imeshakuwa haina msaada katika hilo!
Unajitaftia balaa aisee shukuru umempata anayekupenda na ni responsible father hayo mengine potezea. Seems ulimpendea hela sasa ulicho kitamani umeona upuuzi. Ndo mana mimi first principle yangu ni love then mengine.
Utaoaje machangupaka ww...Amini! amin! Nakuambia mahusiano ambayo yameanzishwa na mwanamke (mwanamke kuanza kuvutiwa na mwanamme/mwanamke kujitongozesha kwa mwanamme) yanadumu 90% kuliko Yale ya kawaida tuliyozoea ya sisi wanaume kuwatongoza wao!
So, Mimi nasuburiaga wajilete wao..na sijawahi juta katika mbinu yangu hii
Ha haaa hili swali lako limenifikirisha...Unatamani umpendaje hebu tueleze. Akikushika huko chini hapalowani?
Jaribu kutoka naye muwe peke yenu pamoja angalia mov za mapenzi hasa love story atajifunza kumpenda kingine ucmkumbuke Yule wa zamani inaonekana kuna mtu unampenda na ulikuwa naye kwenye mahusiano nyuma jaribu kufuta hisia za nyuma kama una vitu alikuachia vitupe jitoe kwa mpenzi wako hasa mkiwa faraghani kama hakufikishi ongea naye aongezee vile unataka kama hayuko romantiki mfundishe cc binadamuu tunaweza mpenda mtu yoyote ila kama akili yako umeshaiambia humpendi na hutampendi itune akili yako kwanza utampenda naamini saivi unasema2 humpendi ila cku akipata wa pemben utajisikia vibaya sana na moyo utakuuma sana au cku ukiachana nayeWakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.
Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.
Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.
Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
Wanawake mna mambo yenu ya kificho sana....mioyo yenu mnaijua wenyewe....ndio maana akina sie tuliamua kuchagua mpenzi beer....my beer never lie,never hold back her love to me when I gotta a drink...Nashukuru Mungu nlikwepa huo mtego wa kuolew na mtu nisiye na hisia nae ,nliamua kuwa na subira hadi nlipompata tunae endana tena nlimpata katika namna ambayo haikua rahisi kuamini... subira ni ibada...pole bibie
Dah aki nimeshika kichwaMa dear, tunaishi mara moja katika dunia hii.Kama hakupi amani achana nae katafute wa moyo wako. Nadhani kuna wengi wanampenda hila wewe ndo unawashikia shuka jekundu. Muache na yeye atafute yule Mungu amempangia.
Hujawah cheat....Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.
Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.
Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.
Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
Fanya umpende mwenzako. Apo unakuta unamfikiria mtu ambae akufikirii af jamaa anapambana kukuridhisha. Mi kanuni ni moja 2 simpendi mwanamke asienipenda.Mimi nifanye nini sasa na njaa inaniuma hahaa ila kiukweli najitahidi sana kukaa mbali nae tatizo huwa tunajikuta tu automaticay tumekutana
Sasa utafanyaje mnawatotot wa ngapy ?Kwanza sio kweli kwamba pesa ndio iliyonivuta kwake ila generally ni mkaka mwenye sifa nzuri, hata mimi nina kazi na kipato changu kiasi. Ninakiri kukosea kuolewa bila ya kuzingatia hisia zangu. Ninachohitaji ni namna ya kuifanya ndoa yangu yenye furaha ya kweli. Nini nifanye??
YOU CANT MARRY A PERSON YOU DONT LOVE, say the truth you married him coz of his money,bla bla bla bla'She is a big liar' you don't have to accuse me or judge me. If you dont have anything to help just brush it off.
Ndugu hunifahamu wala sikufahamu. Nidanganye ili iwaje? Nini faida ya kudanganya hapa?
Nimesema na nimejiongelea binafsi kile ninapitia. Nina makosa yangu nimefanya ninaloangalia ni kuyasahihisha.