Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Hujanielewa vizuri nimesema kama tunasalimiana hata akinihug huwa napenda iwe briefly...nadhani marafiki wa kawaida wanafanya hivyo ikiwa extended ndio sitaki sasa umeelewa boss?
hata kama humpendi kimapenz kwa nn unawaza kumsukumaa..?kwani we ni rihana?..
 
Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.

Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.

Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.

Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
Ila ndugu unanipa mashaka, na inauma sana. Ikitokea jamaa akajua akili zako ndio hizo inakuaje? Wewe unaonekana kuwa huru Kuandika uliyoandika, suppose jamaa akagundua usirudi tena hapa. Na hii ni kwa mamlaka niliyopewa. Usiulize na nani.
 
Hii shida nyingine !!!

najua wachache tumeelewa kilichopo kwa mind yako.... Go on lady, maana kama ni ndoa hukulazimishwa
 
Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.

Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.

Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.

Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
Ana mkwanja aka kakitu pesa?
 
Duh pole sana dada.hivi mtu unawezaje kufunga ndoa na mwanamme usiyemfeel?ulikosea sana na ulijidhurumu nafsi yako.ningekuwa mimi ndo nimefanya hilo kosa wala nisingefikiria kumwacha wala kuchepuka.ningekubali matokeo tu niishi nae hivyo hivyo nitunze ndoa yangu na kuangalia na watoto.
Kufikiria kuchepuka wakati makosa uliyafanya mwenyewe ni ubinafsi na Mungu hatokuacha salama
 
Mimi nifanye nini sasa na njaa inaniuma hahaa ila kiukweli najitahidi sana kukaa mbali nae tatizo huwa tunajikuta tu automaticay tumekutana
Dah, unazingua sana ujue tena kacha mazoea nae kabisa maana mwenzio kashajenga hisia taratibu anajua unamuelewa ila siku akistuka unamtumia atakufanya mbaya hutakaa amini hio kitu yani! Na huo upendo utageuka kuwa chuki ilihali we ndio utajikuta unamuhitaji yashanikuta hayo nadhani yule manzi anajuta kunifahamu!
 
Kwanza sio kweli kwamba pesa ndio iliyonivuta kwake ila generally ni mkaka mwenye sifa nzuri, hata mimi nina kazi na kipato changu kiasi. Ninakiri kukosea kuolewa bila ya kuzingatia hisia zangu. Ninachohitaji ni namna ya kuifanya ndoa yangu yenye furaha ya kweli. Nini nifanye??
Furaha ya kweli ni kumuangalia yeye kama option yako na source ya mapenzi iliosalia hapa duniani! Ukianza fikiria kuwa kuna aliye bora zaidi yake utazidi kuharibu na lazima utamsaliti, ni ngumu sana kwa mwanamke kumtii mtu asiye na hisia nae!
 
Reference ya hoja yangu ina sapotiwa na point hizi...

1. The law of demand and supply. Huyo mume demand yake ni ndogo alafu ana higher supply.

Hapa anatakiwa apunguze supply ili demand iongezeke na ata fanikiwa hivyo kwa kutomjali huyu mwanamke, yani amtriti rafu kadri awezavyo walau kwa mwezi tu. Aone kama demand yake haijapanda na intimacy/chemistry kurudi.

2. My experience.

Haya na wewe niletee point zako za kusapoti hoja yako ya "si kweli"!
Nadhani hii theory ina ukweli hasa kwa hawa viumbe na ndivyo ifanyavyo kazi, kumjali sana mwanamke hakujawahi kuwa na matokeo mazuri hata siku moja!
 
Ulichokiandika sasa hivi tofauti na kile ulichoandika mwanzo...kupunguza supply naweza kukubaliana na wewe lakini sio kimtreat mtu like shit..hivi unajua kumtreat mtu like shit lakini au umeteleza tu
As Bad as it sounds ndivyo hasa anatakiwa kukufanyia hivo, kutikisa akili yako tu makusudi and never putting your mind at rest! Awe haeleweki kabisaa then from there utapata kujua kuwa aliyokuwa anakufanyia ni ya kuthaminiwa sana! Kimsingi hili hurudisha akili za wasichana wengi ambao wanaona wana deserve kufanyiwa favors bila kuonesha shukurani!
 
Papuchi mbona huwa anaomba ila kisiasa sana mi najitoa tu ufahamu najifanya sijamuelewa
Utakuja gundua ulishampenda ila itakuwa very late maana atajikataa tu at some point in time baada ya kumpata mtu anayemkubali kikwelii, wanawake always mnapenda kwa mazoea kisha hisia hu kick in mwishoni!
 
WEWE SEMA NI HIO PARKAGE YAKE ULIPENDA YAANI HELA YAKE, unaweza aje oa mtu ambao hata hujisikia kufanya tendo nae, hutaki hata akuguse, sasa utaishi na mtu maishani yako milele ambae hata HUMUPENDI, ni hela yake unapenda, wadada mko na taabu sana
Halafu anadanganya umma kuwa anajiweza na ana kazi, mwanamke anaejiweza haolewi na mtu asiyempenda hata siku moja! Huyu ni mchumia tumbo tu na baada ya kuona jamaa kajiimarisha vizuri af design kawaka kwake akaona akubali tu tena kwa kushikiwa akili na dada yake wala si kwa ridhaa yake!
Aina mbovu sana ya wanawake ni hawa wenye akili za kukopa kama mtoa mada wanaume wenzangu tuwe makini sana, natarajia hii ndoa itaendeshwa na remote kwa kipindi chote cha maisha yao, jamaa ana hasara kweli hadi huruma!
 
Napokwambia uwe free namaanisha acha hisia za kawaida za kibinadamu zikuongoze, ikitokea amekuudhi chukia, lia pigana, ongea whatever. Ikitokea amekufurahisha mkumbatie,mpe zawadi, muimbie fanya chochote unachojiskia. I mean ishi kawaida ila usipange muda huu nitafanya hivi au vile au namna gani .sijui kama unanielewa.
Sasa boss kwa case ya mtoa mada akiwa real unadhani hii ndoa itamaliza hata mwaka bila Divorce? Nina hakika hata sex inampa tabu sana ku cope nayo maana hampendi jamaa na hela imeshakuwa haina msaada katika hilo!
 
Halafu anadanganya umma kuwa anajiweza na ana kazi, mwanamke anaejiweza haolewi na mtu asiyempenda hata siku moja! Huyu ni mchumia tumbo tu na baada ya kuona jamaa kajiimarisha vizuri af design kawaka kwake akaona akubali tu tena kwa kushikiwa akili na dada yake wala si kwa ridhaa yake!
Aina mbovu sana ya wanawake ni hawa wenye akili za kukopa kama mtoa mada wanaume wenzangu tuwe makini sana, natarajia hii ndoa itaendeshwa na remote kwa kipindi chote cha maisha yao, jamaa ana hasara kweli hadi huruma!
Thanks for seeing that bro, i know lots of ladies nowdays only marry a guy coz he drives, has a nice job and so on, and its true she is a big LIAR, ati she has a job and she is able finacially, UONGO KABISA, huyu if you check carefully she is even a housewife, has no job,these our sisters think money is all you need no way, i beleive GOd give us diffrent gifts and talents which if any one of us uses and puts it in proper use will earn you WEALTH,so i cant if i am a lady marry a person who i dont love coz of his HELa, no way, i will use my INNOVATION and CREATIVITy to make my wealth,i just need to take my time, have patience, hard work,think smart and such and with GOD on my side i will make WEALTH, it matters not if i am a man or woman.
 
Inatokea sana.....nina wifi yangu aliolewa na mwanaume hampendi mapenzi walikuwa wakishiriki kwa kuwa tu ni mume wake, miaka 15 kwenye ndoa na watoto juu ila saivi anasema ameshindwa anataka waachane
Ina maana ni kaka yako ndio hapendwi uapo ama inakuwaje, ha ha ha ha kidding!
 
Shoga angu, enjoy ooh. Kuna wanaume "wapumbavu", yet ukikuta wake zao wanavyostruggle to keep them, unajiuliza huyu anahangaika na nini jamani? Watu wanavunja nazi, pasua mayai, vilingeni kama 2nd home, shinda kanisani; kisa tu ndoa na hapo mume ni pasua kichwa. Yani kama kuna vitu vigumu duniani, basi finding a good partner ni kimojawapo. You got a man who loves, honors and respect you, Mungu akupe nini tena? Do whatever it takes to keep him. Kila la kheri
Too bad wanawake wenye wanaume wenye huruma, kuwathamini na kuwajali genuinely huwa hawaonagi mambo in such perspective! Hawajuagi there are a million women out there wishing to have that kinda treatment hata week moja tu ndani ya mwezi, mtu anakupa time na priority ila unamuona zoba bwege mtozeni duh as if kwamba wewe ni special sana ama huna mapungufu! Huwa inaumiza sana but umemshauri vizuri sana, tuombee aufanyie kazi huu ushauri!
 
Back
Top Bottom