Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Seriously, yeye apambane tu mpaka kieleweke. Asije ishia kuharibu welfare ya mume/watoto wake in the name of kusikiliza hisia zake. Kweli mume angekuwa na matatizo mbona tungeleta ngebe zetu. Azifufue/azae tu hizo hisia humo humo zitakuja tuEeewalaaaa!!!
Mpaka aamue kuolewa nae basi kuna sababu ilomsukuma, basi aifikirie hiyo sababu maana maamuzi yake ya sasa hivi yataathiri watu wengi sana kuliko angeamua pale mwanzo.
Ajifunze kuwa responsible for her decisions.
Mume angekuwa na shida basi maybe angefikiria jambo lingine, so far ana mume mwema tu. Thamani ya kitu huonekana kisipokuwepo, amshikilie sana mumewe na asiwe na mawazo ya kuchepuka maana hadi kuitaja yawezekana ishawahi kuwa wazoni mwake.
Good men are hard to find, ukimpata mshikilie haswaa lasivyo watakusaidia kumshikilia.
Haha unachepuka au unaamua kuachika unaenda kuolewa na ambaye una "hisia" naye then unaanza kulalamika hana "attributes" kama alizokuwa nazo ex hubby (GOD FORBID). Tujue kutofautisha Wants Vs Needs