Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 726
Lazma niwe mnoko.Uliahidi kuwa mgumu sasa hata jua halijazama tayari tigo-money inakwenda kuhusika😣😣😎😎tunaharibiana hapa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazma niwe mnoko.Uliahidi kuwa mgumu sasa hata jua halijazama tayari tigo-money inakwenda kuhusika😣😣😎😎tunaharibiana hapa sasa
Mapwenti kama yoooteee
Lazma niwe mnoko.Uliahidi kuwa mgumu sasa hata jua halijazama tayari tigo-money inakwenda kuhusika
Anatisha sana.Halafu ni mchokozii😀huyu dada ni mama mchungaji tosha.. mimi namtwikaga fadhaa na mahasira yangu hapo nimepaki na mabegi yangu🤗🤗🤗 ukimshirikisha unarudisha nguo kabatini😂 then unarelax💏 tena unaingia jikon na kupika kabsaa.. raha sana she is blessed
✌😀🙂😉yes.easy.najua unatania😛
yupi huoWewe unafanana na yule mwanamke aliye anzishiwa uzi na Mzigua90
Ukiwa kama mtoa mada unaomba afe tu uishi kwa furahaNawaza tu ukishindwa kumpenda kama ambavyo mtoa mada ameshindwa ni unaishi maisha ya kufurahisha watu tu huku wewe nafsi yako inasinyaa tu!!!
Unadharau sanaWakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.
Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.
Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.
Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
Ah hii kiingereza tunaita error back pass au kwakiswahili wanaita kisoda... Angalia huyu mchezaji wa kike amepewa mpira akiwa peke ake akazubaa mara forward anatokea kwakuweweseka anarudisha mpira kwa kipa kama anafunga freekick mwishowe anajifunga... Mwisho nasema ni goal bora la kujifunga ni goli ambalo unaweza bangulia korosho kwako jesseKwako mwalim kashasha
At this stage, me naona hana option. Afike stage aamue tu kuwa "from today I will enjoy my man". Inawezekana ana wants nyingine, ila this is a kind of a man that she needs. Kwenye maisha ukikosa unachokitaka basi unaenjoy tu unachokipata. A lesson to all single ladies out there, ukishindwa kujifunza kumpenda mtu huku nje, extend muda wa kufunga ndoa hadi uanze kumpenda; ukishindwa kabisa, muache tu. Usimzibie mtu riziki ya kuwa na mtu watakayependana naye, kwa wewe kufunga naye ndoa while humpendi kabisa.
Afu maybe anamchukulia mumewe kawaida tu kwa sababu si ni wa kwake, anaye ndani; ngoja siku ajue kuna mwanamke mwingine ndo atajua anampendaje mumewe...... Kwa stage aliyofikia ajue tu kutofautisha Needs and Wants
Thank you
Thank you
Thank you !!moyo wangu umejiskia kuinuka mno baada ya kusoma ushauri wako. Help me Oh God, to see how blessed I am, teach me to reciprocate my husband's love.
You are truly heaven sent
hahaa ila nilimwita mm ujue?itabidi nikchek pm unitigopesa[emoji36][emoji36][emoji36]
Ukiwa kama mtoa mada unaomba afe tu uishi kwa furaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kweli kabisa Mwl. KashashaAh hii kiingereza tunaita error back pass au kwakiswahili wanaita kisoda... Angalia huyu mchezaji wa kike amepewa mpira akiwa peke ake akazubaa mara forward anatokea kwakuweweseka anarudisha mpira kwa kipa kama anafunga freekick mwishowe anajifunga... Mwisho nasema ni goal bora la kujifunga ni goli ambalo unaweza bangulia korosho kwako jesse