Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Reference ya hoja yangu ina sapotiwa na point hizi...Sio kweli
1. The law of demand and supply. Huyo mume demand yake ni ndogo alafu ana higher supply.
Hapa anatakiwa apunguze supply ili demand iongezeke na ata fanikiwa hivyo kwa kutomjali huyu mwanamke, yani amtriti rafu kadri awezavyo walau kwa mwezi tu. Aone kama demand yake haijapanda na intimacy/chemistry kurudi.
2. My experience.
Haya na wewe niletee point zako za kusapoti hoja yako ya "si kweli"!