Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Huyo mume wako ana makosa sana, mwanamke ukimuonyesha una mpenda ndo umeharibu.

Inatakiwa aku treat like a shit alafu uone hiyo chemistry sijui intimacy kama haitakuja bila kupenda...
 
Kinachokukuta ndio kinawakuta zaidi ya 90% ya waliopo kwenye Ndoa.

Wanawake wengi ni 'fakers', wanauwezo wa kuigiza miaka nenda rudi ali mradi tu Jamaa mifukoni kunaeleweka.
Hiyo 90% ya wanawake kwenye ndoa umeipataje babu. Mi kwa uzoefu wangu wanaume zaidi ya hiyo 90% tuliopo kwenye ndoa ndio tunawasumbua wakina mama na wanatuvumilia sasa kama wangekuwa hawana upendo si wangedai talaka wajiendee zao kwa wanaowapenda? Fanya research yako tena.
 
Ok,
 
Maisha ndio yako hivyo sister sister, huwezi kupata kila hitaji lako. Ungeolewa na unayempemda ungekuja unalalamika hapa labda ni malaya labda sio muwajibikaji e.t c.
Komaa na Ndoa yako, usiruhusu shetani akujaribu
@Aragorn son of Arathorn You remind Me Harry Porter and the Lord of the rings
 
My dear ulikosea sana tangu pale ulipoamua kuolewa nae. Mimi pia hali hiyo imeshanikuta...kuna huyu kaka ananipendaga, hajawahi kunitamkia hivi seriously ila matendo yake yanaonyesha waziwazi mwanzo tulikuwa kama kaka na dada tu ila huwa ananisaidia sana, ananijali shida yangu anaibeba kama yake, asione nna shida atafanya juu chini anitatulie japo hana pesa kihivyoo ila ni mchakarikaji na vijisenti vya hapa na pale havimpigi chenga. Anajitahidi kunionyesha mapenzi ila mimi hajawahi kunishtua hata ubongo yani simpendiii yaani akinihug kikawaida hivi labda tuseme tunasalimiana najinasua fasta natamani nimsukumie kule, hapa ndio najua si kweli kwamba mwanamke anaweza akawa na mahusiano na mtu kwajili ya pesa tu..lazima kunakuwa na tumapenzi japo kiduchu hata siku moja pesa haiwezi kununua mepenzi trust me.
 
Hapana sijutii. Ila ninatamani kumpenda kama anavyonipenda na kufurahia kuwa nae.
 
Huyo mume wako ana makosa sana, mwanamke ukimuonyesha una mpenda ndo umeharibu.

Inatakiwa aku treat like a shit alafu uone hiyo chemistry sijui intimacy kama haitakuja bila kupenda...
Aisee sasa wewe unaishije bila kumpenda mwanamke? hahaahaha aisee hapa JF kuna vituko
 

Lkn hela yake unachukua,wahujumu uchumi mpo wengi
 
Kwanza sio kweli kwamba pesa ndio iliyonivuta kwake ila generally ni mkaka mwenye sifa nzuri, hata mimi nina kazi na kipato changu kiasi. Ninakiri kukosea kuolewa bila ya kuzingatia hisia zangu. Ninachohitaji ni namna ya kuifanya ndoa yangu yenye furaha ya kweli. Nini nifanye??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…