Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
I second that.Wana JF mimi nipo tofauti na hili swala la kuhusisha makabila ya watu na hii tabia ya kuficha watoto wa ujanani. MSIMAMO WANGU NI HUU TABIA HII IPO KARIBU KILA KABILA NA INATOKANA NA MAKUZI YA FAMILIA HUSIKA NA SI KABILA
Mchango wangu kwa topic hii ni Wazazi na walezi wawafundishe watoto wawe wa kike au wa kiume KUWA WAKWELI na kwa kuwa wakweli ndipo jamii itaondokana na tabia mbalimbali zisizofaa km hii
Ila swala la kusema wazazi wawafundishe watoto wao kuwa wakweli wakati wengi wao ndo hua wanasuggest iwe siri (kuogopa aibu) sidhani kama inawezekana.Sema watu wajifunze kuwa wawazi, there is nothing wrong about a child that was born before you mate your partner, usimfanye huyo mtoto ajihisi hana thamani au hafai.Sio haki kwake wala kwa huyo unayemuoa/olewa nae.