Unajua wewe unaandika vitu kwa kiingeleza hivyo hauvipi uzito!.. ulitakiwa uandike KIKAANGIO na sio hio furahipeni sijui..
Hivyo ulipigwa na KIKAANGIO cha kichwa wewe ukampiga kofi tu...
Hili jambo sijui kama naweza kuhimili maana kisago ambacho angekipata ni mtama kama sehemu ya makaribisho ya kipigo,then akiwa hajatua chini vizuri akiwa hewani namshushia ngumi ya koo ili imsindikize vyema chini yani nasadiki ule usemi mkono tupu haulambwi!
Kisha namuinua kabla hajainuka vizuri akiwa angle ya magoti nashuka na kichwa Cha pua then hata kabla hajarudi chini kwa kichwa banzi lazima limsindikize ktk safari yake ya Mara ya pili!!
Nikimuinua mara ya pili atafikia begani sasa hapo atakapoenda kutulia kutaamua ama tubadilishane majengo ya serikali au wote wawili twende kwa baba kule tulikotoka..π