Mwanamke usipoolewa ni aibu

I wish I could tell u more to understand but wacha tu nikomee hapa mkuu
 
Sasa wewe umejuaje kama ha aibiki?
 
Bado wanakula ujana kwanza, wakishatumika na kuzeeka wanajaa mitandaoni kutafuta watu japo wa kuzaa nao tu tena utawasikia mtoto ntalea mwenyeweeeh!
jamani...aibu inaanziaga hapo sasa
 
Sasa wewe umejuaje kama ha aibiki?
Kwa sababu ameendelea kupewa nafasi za hesima miaka na miaka, kuanzia gavana wa Arizona mpaka kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani mpaka sasa ni rais wa vyuo vikuu vya serikali California.

Mtu aliyeaibika hapewi nafasi za kuheshimika kama hizo.
 
Kuna aibu za aina nyingi...u never know what is inside her...
 
Kuna aibu za aina nyingi...u never know what is inside her...
You should never speak about something you don't know, you will be speaking about something you don't know.

Kwa nini unataka kuongelea jambo usilolijua?

Na kama hujui kilichomo moyoni mwa mtu, utajuaje nani ana aibu na nani hana at all?

Habari nzima inakosa mantiki.
 
Aibu Kwani ukifa kwenye kaburi wanaandika huyu aliolewa huyu ajaolewa Mbona wao awajisemi watuache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie wewe watuache atutaki pressure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio miaka ya kuolewa bali ni miaka ya kujenga mji na mmeo na watoto wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish I could tell u more to understand but wacha tu nikomee hapa mkuu

Just go on. Its a FREE platform.

Trust me waowaji wapo wengi sana tena vijana wengi tu potential wanaonjitambua na kujielewa. Issue wadada wengi wako soo much into material things. They live in this fantasy world that they deserve some guy with money, class and properties au atleast kwao wako vizuri hoping the family wealth will be passed on foward. Unfortunately sumtyms all that glitters ain't Gold.

Wealth, prosperity and happinness all starts in the mind ONLY when the two of you have a strong bond binded by Loyalty and True Love from there positive outcomes are always guranteed.

Hakuna mwanamme mkorofi kwa mwanammke mnyenyekevu. HAKUNA !!


Sent from Letchworth Garden City, Hertfordshire. UK
 
Kibayolojia mwanamke aliye fertili anatakiwa kuwa amezaa walao akiwa na miaka kati ya 30 hadi 33 akifika miaka 35 nyonga zake zina kaza (retract) na hivyo kuwa na changamoto za ziada kupata mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu pande zote mbili kwani mwanamke anakusubiri wewe mwanaume utoe sera za kuoa ,usipooa unaogopa maisha na ni aibu kwako kama uko kamili (not functionless)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…