Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Gavana wa Arizona, State ya US, ni mwanamke anaitwa Janet Napolitano. Ana miaka 60 sasa. Hana mume, hana mtoto na hajawahi kuolewa.
Janet Napolitano siyo gavana wa Arizona.
Alikuwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gavana wa Arizona, State ya US, ni mwanamke anaitwa Janet Napolitano. Ana miaka 60 sasa. Hana mume, hana mtoto na hajawahi kuolewa.
Sorry. I meant to say former. My bad. The main point stands.Janet Napolitano siyo gavana wa Arizona.
Alikuwa.
I wish I could tell u more to understand but wacha tu nikomee hapa mkuuHamna kitu kama hicho. Mpaka mtu anakua hvyo dunia hii ya sasa yenye smartphone na instagram huyo mwanamke ametaka mwenyewe tu.
Hakuna mwanaume anayependa kuwa na mke tegemezi all day everyday labda huyo mwanamke awe hajitambui au hana nidhamu kwa mme wake.
Kuolewa asiolewe yeye aibu upate wewe?Upo mstari unaotahadharisha kuhusu kufuta aibu ya kutokuolewa.
Sasa wewe umejuaje kama ha aibiki?Gavana wa Arizona, State ya US, ni mwanamke anaitwa Janet Napolitano. Ana miaka 60 sasa. Hana mume, hana mtoto na hajawahi kuolewa.
Alikuwa Waziri katika serikali ya Obama. Watu wanamsifia sana kwamba anapiga kazi kichizi. Labda anapiga kazi kichizi kwa sababu hana distractions za mume wala mtoto na kazi anazofanya zinaweza kuwa zinaenda vizuri zaidi kama hana mume wala mtoto kwake yeye.
Kukosa kuolewa kwake hakujawahi kumfanya asiheshimike. Kwa sababu jamii yake inaelewa kwamba kukosa kuolewa si jambo la aibu na kunaweza kutokana na sababu tofauti.
Ni huko kwetu tu umasikini na ukosefu wa elimu unatusumbua.
Ni bora mwanamke kuishi bila mume kuliko kukubali kuolewa kwa pressure za jamii halafu akaishia kwenye ndoa isiyoisha migogoro.
Janet Napolitano - Wikipedia
Kwa sababu ameendelea kupewa nafasi za hesima miaka na miaka, kuanzia gavana wa Arizona mpaka kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani mpaka sasa ni rais wa vyuo vikuu vya serikali California.Sasa wewe umejuaje kama ha aibiki?
Kuna aibu za aina nyingi...u never know what is inside her...Kwa sababu ameendelea kupewa nafasi za hesima miaka na miaka, kuanzia gavana wa Arizona mpaka kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani mpaka sasa ni rais wa vyuo vikuu vya serikali California.
Mtu aliyeaibika hapewi nafasi za kuheshimika kama hizo.
You should never speak about something you don't know, you will be speaking about something you don't know.Kuna aibu za aina nyingi...u never know what is inside her...
Aibu Kwani ukifa kwenye kaburi wanaandika huyu aliolewa huyu ajaolewa Mbona wao awajisemi watuacheHuwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie wewe watuache atutaki pressureNyie ndio mnawapa pressure kwa maneno yenu yanayowadhihaki. Kuolewa kwa kulazimisha lazima ilete matatizo, km mtu hataki kuolewa muache ht km ana miaka 40 ndio maamuzi yake, kuliko aolewe aboronge na amtese mume.
Why mnawapa pressure wasichana?
Na kuna nini hasa huko kweye ndoa mpaka muwalazimishe kuingia?
Hiyo sio miaka ya kuolewa bali ni miaka ya kujenga mji na mmeo na watoto wenu.Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
I wish I could tell u more to understand but wacha tu nikomee hapa mkuu
Kibayolojia mwanamke aliye fertili anatakiwa kuwa amezaa walao akiwa na miaka kati ya 30 hadi 33 akifika miaka 35 nyonga zake zina kaza (retract) na hivyo kuwa na changamoto za ziada kupata mtoto.Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app