Mwanamke usipoolewa ni aibu

Aki can u pm me please nimekupenda bure something is so interested over u men
 
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Acha kuwasababishia kimuhemuhe bure. Sijui umri wako, lakini ukijaliwa ukafika angalao miaka 50 ukafanya rejea kuhusu wanawake uliowafahamu enzi za ujana wenye tabia nzuri sana utakuta bado watakuwepo ambao hawakuolewa. Wazuri tu. Na hawana kosa lolote, wala chochote cha kuonea aibu.
Na ninakuhakikishia kibao kingegeuka ikawa wanaume ndio tunaopaswa kuolewa na wanawake, yangetupata hayahaya.
 
Aisee
 
Una miaka 30...teh
 
Demi let's be honest...mimi ni mwanaume sijaoa na kuoa hakuko kwenye mipango yangu kabisaa kwa sasa...na Nina miaka 32

Katika ibada huwa namuomba Mungu sana wepesi vyuma vilainike kiuchumi

Ila nyie Dada zetu wengi wenu tena sana huwa mnajitokeza kuomba wame...mnawatamani sana...je tufiche kusema huwa haiwaumizi kweli kutokuolewa..???
Mnatudanganya hapa na western ways za kujiconsole...lakini mkiingia chumbani peke yenu mnaanza kulia tena
 
Nimeolewa na watoto 2 juu, ila sioni ubaya wala aibu kwa mtu wa miaka 30 kutoolewa.
Tuna brush tuu hapa dada na wewe unajua...mara baada ya masomo au kukomaa wengi wenu mnalia sana kuolewa
Nenda kwenye nyumba za ibada kajionee...yaani yakitoka matatizo ya mapepo ni kuwa na Mme
Kwa waganga wanawake mnaongoza kutushinda...mmekuwa wateja wazuri...case ni wanaume
Leo tukwepe kusema ingawa sio vizuri kushutumu kuwa wanawake hawajisikii vizuri wanapokosa Mme
The point is...mwanamke ana link ya moja kwa moja na familia hata kibiolojia...yaani hamu ya kuwa na mtoto...lakini hupenda iwe formal zaidi kwa maana ya familia kamili ya baba na mama...hapo demand ya mume huja...
Ndo maana hadi wengine mmekubali kuolewa kama mke wa pili au ndoa za mitaala nk
Its hard to avoid nature though we could icesuger it with illogical western morals which are even far way applicable in our societies
 
Wasichana wa kitzkuolewa ni ambition!
Wanaiga but later when ts now over cut of time...ukweli huwa unajitokeza then wanaanza kwenda kwenye nyumba za ibada eti kuvunja pepo linaloharibu mahusiano yao...kwamba kila akipata mtu anakaa nae kidogo halafu anamwacha...my friend we at this age of 35 plus...kweli kwenye wanaume kumi wote watakuja na nia ya kukuoa wakati akiachana na wewe anakutana na hot was age 22 au 23 kwanini asikukimbie
 
Aibu ni pale UNAPOENDELEA kufunuliwa CHUPI na vijana wadogo....maana mwanamke ambaye hajaolewa ni kama HANA NGUO....ndoa ni SITARA..ndoa ni sawa na KUVAA NGUO..
 
Aibu ni pale UNAPOENDELEA kufunuliwa CHUPI na vijana wadogo....maana mwanamke ambaye hajaolewa ni kama HANA NGUO....ndoa ni SITARA..ndoa ni sawa na KUVAA NGUO..
SITARA ndiyo nini? Kama mwanaume mwenyewe ndiyo wewe hata kuandika ni changamoto ni bora wasiolewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…