Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
- Thread starter
- #241
Ha ha ha ha...anatafuta mbegu tena?Mbaya zaidi akiwa over 30 na bado haja olewa na hana mtoto,,,,,anavyohangaika kutafuta mume na mbegu Kwa nguvu ni hatari..,,sometimes najiuliza ndy huyu aliyekuwa ananata sana kipindi kile?Basi umri huo ukigusa tu kutongoza,,,,kesho nakuja nitumie nauli....harembi tena kama alipokuwa under 26 of aged....