Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mbaya zaidi akiwa over 30 na bado haja olewa na hana mtoto,,,,,anavyohangaika kutafuta mume na mbegu Kwa nguvu ni hatari..,,sometimes najiuliza ndy huyu aliyekuwa ananata sana kipindi kile?Basi umri huo ukigusa tu kutongoza,,,,kesho nakuja nitumie nauli....harembi tena kama alipokuwa under 26 of aged....
Ha ha ha ha...anatafuta mbegu tena?
 
Ndy huko kuhangaika kutafuta mbegu,,, na Mara nyingi wanahitaji mwanaume ambaye tayari wana uhakika na mbegu zake,,ndy maana wanaparamia watu ambao tayari wana family,,, wanauhakika na kupata watoto,, hawataki kupoteza muda kwa mtu asiye na family..
Wengi wanapatwa na bahati mbaya kuzaa na waume za watu.
 
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.


Kuolewa ni kazi kuliko kuoa, Wewe unataka hao dada zetu waanze kufanya mambo ya ajabu ili wapate kuolewa, hiyo ni hatari, sasa kama waoaji wenyewe hawapo au waoaji wenyewe ndio akina nyie ???!! Hiyo ni hatari.
 
Kuolewa ni kazi kuliko kuoa, Wewe unataka hao dada zetu waanze kufanya mambo ya ajabu ili wapate kuolewa, hiyo ni hatari, sasa kama waoaji wenyewe hawapo au waoaji wenyewe ndio akina nyie ???!! Hiyo ni hatari.
Aisee Bw. Mokaze mimi nimeoa
 
Acha kuwapa presha wanawake, ninyi ndio mnaoharibu mindset za wanawake kwa kuandika thread ka izi. Kila mtu hapa duniani ana wakati wake wa kuoa au kuolewa. Kama dada zako wanaolewa under 32 basi elewa pia wengine wakati wao sahihi wa kuolewa ni 34, 35, 36, 37, 38 n.k kama wewe umeolewa ukiwa 28 years usitake na wengine waolewe ka wewe.ukiishi kama wasemavyo watu au kwa kujilinganisha na watu utapata tabu sana hapa duniani, ishi wewe ka wewe na ujilinganishe wewe ka wewe. Ni bora uchelewe kuolewa na ukampata mume sahihi kuliko ukawahi kuolewa na ukawa umeingia choo cha kike utajutia sana maisha yako yote (walioingia kwenye ndoa tayari wanaelewa vizuri zaidi kuliko wale wachumba, wasichana na wavulana wanaweza wasielewe na wakapinga)
 
Wewe umeoa, lakini usisahau wapo wanaowachelewesha watoto wa wenzao kuolewa, wanasubiri mtu akate shauri lakini wapi, kama huyu hapa[emoji1313][emoji1313]
Nakiri hilo mkuu.
Nilichelewesha sana.
Hii imekua kama laana pia, coz nimeoa aged woman. Itakuwa na yeye alicheleweshwa
 
Hakuna aliyesema ndoa si muhimu. Ni muhimu kwa ambao tayari wameamua kuingia kwenye ndoa kwa mapenzi yao na si kuwafanya watu waingie kisa tu umri umeenda. Akiolewa akafanya madudu mnaanza kumponda. Not fair
Sasa kama una 35 years mpaka hapo hujawa tayari kuingia kwenye ndoa, sijui unajiona hjapevuka?
Wakati menopause ni wastani wa miaka 45 unakata kuzaa sijui utakuwa unafuata nini kwenye ndoa tena? Ndio hiyo huyo mwenye busara zake anaona tatizo
 
Back
Top Bottom