Mwanamke usipoolewa ni aibu

Nakiri hilo mkuu.
Nilichelewesha sana.
Hii imekua kama laana pia, coz nimeoa aged woman. Itakuwa na yeye alicheleweshwa
Aaaaah 😔😔😔 usiseme laana lakini, as long as unampenda anakupenda that matters a lot
 
Sasa kama una 35 years mpaka hapo hujawa tayari kuingia kwenye ndoa, sijui unajiona hjapevuka?
Wakati menopause ni wastani wa miaka 45 unakata kuzaa sijui utakuwa unafuata nini kwenye ndoa tena? Ndio hiyo huyo mwenye busara zake anaona tatizo
Hivi ndoa ni kwa ajili ya kuzaa tu?
 
It depends na nini kiliwaunganisha kama ni upendo au yatokanayo, kuna ndoa zina watoto watu wana majeraha ya nafsi mpaka miili si tuko kwenye jamii tunayaona
Kama mifano ya kwenye misahafu haikuhusu. Kafanye tafiti kwenye jamii yako. Mnaowaiga wa ulaya leo wanatamani maadili ya africa.
 
You jumping to conclusions, Mimi niliuliza tu ushaniweka kwenye kundi
Kama huoni thamani ya mtoto katika ndoa huijui thamani yako aidha muwe na furaha ama bila furaha, huwezi pingana na rule of nature, walikuwepo mabingwa wa kukosoa rules of nature zaidi yako lakini ziliwazika na wakajutia maamuzi yao. Nakuombea ubadilike, fuata ushauri bora
 
Isaya 4:1 BHN

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”

Bible ina majibu yote ya nyakati zijazo!!
 
Sawa nitabadilika, nitaanza kupenda watoto😊
 
Sasa kama una 35 years mpaka hapo hujawa tayari kuingia kwenye ndoa, sijui unajiona hjapevuka?
Wakati menopause ni wastani wa miaka 45 unakata kuzaa sijui utakuwa unafuata nini kwenye ndoa tena? Ndio hiyo huyo mwenye busara zake anaona tatizo
Sio Kila anayeingia kwenye ndoa ni kwaajili ya kupata watoto. Watoto wanapatikana hata bila ndoa.
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Yaani unakuwa ni sawa na mtu anayetafuta gazeti la leo usiku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…