Aaaaah 😔😔😔 usiseme laana lakini, as long as unampenda anakupenda that matters a lotNakiri hilo mkuu.
Nilichelewesha sana.
Hii imekua kama laana pia, coz nimeoa aged woman. Itakuwa na yeye alicheleweshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaaah 😔😔😔 usiseme laana lakini, as long as unampenda anakupenda that matters a lotNakiri hilo mkuu.
Nilichelewesha sana.
Hii imekua kama laana pia, coz nimeoa aged woman. Itakuwa na yeye alicheleweshwa
Hivi ndoa ni kwa ajili ya kuzaa tu?Sasa kama una 35 years mpaka hapo hujawa tayari kuingia kwenye ndoa, sijui unajiona hjapevuka?
Wakati menopause ni wastani wa miaka 45 unakata kuzaa sijui utakuwa unafuata nini kwenye ndoa tena? Ndio hiyo huyo mwenye busara zake anaona tatizo
Ndoa yenye watoto na isiyo na watoto ipi yenye furaha?Hivi ndoa ni kwa ajili ya kuzaa tu?
It depends na nini kiliwaunganisha kama ni upendo au yatokanayo, kuna ndoa zina watoto watu wana majeraha ya nafsi mpaka miili si tuko kwenye jamii tunayaonaNdoa yenye watoto na isiyo na watoto ipi yenye furaha?
Kama mifano ya kwenye misahafu haikuhusu. Kafanye tafiti kwenye jamii yako. Mnaowaiga wa ulaya leo wanatamani maadili ya africa.It depends na nini kiliwaunganisha kama ni upendo au yatokanayo, kuna ndoa zina watoto watu wana majeraha ya nafsi mpaka miili si tuko kwenye jamii tunayaona
Kama huoni thamani ya mtoto katika ndoa huijui thamani yako aidha muwe na furaha ama bila furaha, huwezi pingana na rule of nature, walikuwepo mabingwa wa kukosoa rules of nature zaidi yako lakini ziliwazika na wakajutia maamuzi yao. Nakuombea ubadilike, fuata ushauri boraYou jumping to conclusions, Mimi niliuliza tu ushaniweka kwenye kundi
Sawa nitabadilika, nitaanza kupenda watoto😊Kama huoni thamani ya mtoto katika ndoa huijui thamani yako aidha muwe na furaha ama bila furaha, huwezi pingana na rule of nature, walikuwepo mabingwa wa kukosoa rules of nature zaidi yako lakini ziliwazika na wakajutia maamuzi yao. Nakuombea ubadilike, fuata ushauri bora
Karibu sanaSawa nitabadilika, nitaanza kupenda watoto[emoji4]
[emoji849][emoji849]Rafiki i love you so much
Sio Kila anayeingia kwenye ndoa ni kwaajili ya kupata watoto. Watoto wanapatikana hata bila ndoa.Sasa kama una 35 years mpaka hapo hujawa tayari kuingia kwenye ndoa, sijui unajiona hjapevuka?
Wakati menopause ni wastani wa miaka 45 unakata kuzaa sijui utakuwa unafuata nini kwenye ndoa tena? Ndio hiyo huyo mwenye busara zake anaona tatizo
Yaani unakuwa ni sawa na mtu anayetafuta gazeti la leo usiku!!Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Ni jamii gani inafurahia hiyo, kabila gani hilo?Sio Kila anayeingia kwenye ndoa ni kwaajili ya kupata watoto. Watoto wanapatikana hata bila ndoa.
Unapenda hayo mambo?inatakiwa tuolewe na mwanaume mmoja tuwe tunapiga 3some
Msinisahau kwenye kikao chenu cha maamuzi[emoji23][emoji23][emoji23] jamani ai wewe haya niweke hata kwa rafiki yko ila age yng ni 27[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msinisahau kwenye kikao chenu cha maamuzi[emoji23][emoji23][emoji23] jamani ai wewe haya niweke hata kwa rafiki yko ila age yng ni 27[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app