Mwanamke usipoolewa ni aibu

nahamasisha wanawake waolewe mapema
Wawafanyaje sasa wanaume ili wawaoe?maana shida ni wanaume kugoma kuoa,kuoa mwanamke mmoja,na kingine ni wanawake nao wakishaolewa kuwazuia wanaume wao wasiongeze wake wengine ili wabakie wao tu,mi naona hapa ndipo shida inapoanzia...
 
Asipoolewa mapema mpaka anafika 30s kuna shida hapo
 
🤣🤣🤣
 
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Unachoongea sio reality. Idadi ya wanaume duniani ni kama 3/4 tu ya wanawake wote duniani. Kwa vyovyote vile haiwezekani wote kuolewa. Hiyo aibu inatoka wapi wakati uwiano haukubali naturally? Hiyo aibu iko kichwani mwako tu.
 
Sawa mkuu, ni mawazo yangu ya kipindi hiko cha nyuma sana
 
NAKAZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…