Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Kama unafikiri ndoto ya kila mwanamke ni kuolewa basi kanisa katoliki lingefunga mashirika yake yote ya utawa maana wasingepata wanawake wa kuwapokea. Dunia yote haipo hivyo unavyo amini wewe
Achana na watawa wale ni chakula cha mapadre. Halafu wako katika kazi maalumu hilo kundi ni maalumu
 
Nyie ndio mnawapa pressure kwa maneno yenu yanayowadhihaki. Kuolewa kwa kulazimisha lazima ilete matatizo, km mtu hataki kuolewa muache ht km ana miaka 40 ndio maamuzi yake, kuliko aolewe aboronge na amtese mume.
Why mnawapa pressure wasichana?
Na kuna nini hasa huko kweye ndoa mpaka muwalazimishe kuingia?
Hakuna point hapa zaidi ya kujitetea[emoji848]
 
Achana na watawa wale ni chakula cha mapadre. Halafu wako katika kazi maalumu hilo kundi ni maalumu
Umeona sasa ulivyo mpuuzi wakati wanaliwa na mafather wewe ulikuwa unawashika miguu yao ili waliwe vizuri halafu hapa tuna zungumzia ndoa au kulana ?
 
Sio wote duniani wapo hivyo ulivyo eleza
Hii ni kwa jamii nyingi za kiafrika na some asians, huko ulaya Kuna maisha mengine. mdada, Kuna kitu kinaitwa " woke culture" , ndio tunajaribu kuiiga kutoka western civilization, na imeshaanza ku back- fire. Fuatilia world trends in social lifestyles utaona, kuanzia failure in parenting styles na social interactions. Hizi ni researches katika uwanda wa psychology and life styles trends sio vague personal opinions.

Tatizo watu wengi tunaishi in denials, ukiwa mtu mzima haijalishi whether ni mwanamke au mwanaume, majuto yanakuja. This is nature, you cannot fight with nature.

Kwa mwanaume vigezo havibadiliki ni hivyo hivyo mpaka Dunia itakapoisha.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Mashirika ya wakatoliki yangefungwa yote duniani kama unafikiri dunia ipo hivyo unavyo fikiri wewe. Dunia nzima haiwezi kuwa mchana kote weka kichwani hiyo, maisha haya fanani baina ya mtu na mtu ulivyo wewe ni tofauti na nilivyo mimi.
 
Hata hao wanawake wa kizungu wanapenda kuolewa achana na mafenists
Tatizo lilipo Afrika jamii bado inaamini katika "collectivism" ya kipuuzi hata katika maisha binafsi ya mtu yasiyo na athari yoyote kwa mtu hao watu weupe hasa western ni waumini wa "individualism".
 
Tatizo lilipo Afrika jamii bado inaamini katika "collectivism" ya kipuuzi hata katika maisha binafsi ya mtu yasiyo na athari yoyote kwa mtu hao watu weupe hasa western ni waumini wa "individualism".
Utaongea lugha zote lakini ukweli ndio huo
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Upuuzi tu it doesn't matter hata 40 mtu anaolewa tu. Tusiwafanye watu wajisikue vibaya.
N.b. miaka 22-35 ni kipindi bora Cha kuzaa Kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom