Mwanamke usipoolewa ni aibu

Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Kuoa mwanamke over 30 ni Sawa na kununuwa gazeti la asubuhi jioni..

Wenzio washashasoma habari zote asubuhi,,[emoji23][emoji23]
 
Mwenye maamuzi ya ndoa ni mwanaume sasa iweje mwanamke asipoolewa anatupiwa lawama na kashfa za kila aina.
Mwenye maamuzi ya mahusiano kuwa ndoa ni mwanamke, mwanaume yeye anasema tu 'Tuoane/Sikuoi' baada ya mwanamke kuamua kwa vitendo.

Technically, ukiona umefika umri mkubwa haukufanya maamuzi ya kuolewa kwa vitendo ukiwa umri wa kuolewa Mfano ulikuwa huna heshima na wapenzi zako, malaya, urafiki na wanaume, mpenda anasa, mchafu na matendo yoote ambayo wanaume uliokuwanao wakasema basi SIOI HAPA NAPITA TU.

Mwanamke anayejielewa anahitaji kuwa anaonekanika tu sio uzuri bali kuwa anaangalika kinachofuata ni Tacts/vitabia vidogo tu atavuta mijanaume mi Husband Materials hata kutoka wapi huko....So mwenye 30+ Hana excuse zozote alizingua.
 

Uyo ni lesbian usitishwe na cheo there’s must be other side of the story changa karata zako vizuri duniani lengo kuu la kila mwanadamu ni kua na familia yake mwenyewe either kwakuwai au kuchelewa so kama umri unasonga na hujafanyikisha ilo swala lazima utaanza kuona red flags [emoji626] zina click kichwani mwako be wise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…