Kumbuka 45 yrs unaanza menopauseHuwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah aisee. Wanaoingia kwenye ndoa kwa kuangalia umri nawaonea huruma sana maana wataenda kuboronga lazima. Kila la kheri kwao!Hahahah mi naonaga kawaida tu tena waume huwa hatungaga presha, ila mademu ndio wenyewe mnaosheana kutokana na kucheza kwaito kwenye shughuli za wenzenu. Kila mmoja anarudi kwa boy wake na kuanza kulazimisha hilo swala wengine ndio wanaoa kishingo upande harusi ikishapita vurugu haziishi mjengoni!
shem darling fanya fanya basi jamani, au unataka niendelee kuaibika mwenzio?Kuna vita unainunua Tembosa, hakika utalipwa hapa hapa, subiri tu[emoji12]
Anyway, lifestyle ya mwanadamu inabadilika kutokana na mazingira na nyakati anazoishi, kwa sasa kuoa/kuolewa sio kipaumbele kwa kila mtu, wakati wengine tunaona kuishi na mtu karibu yako ni faraja kubwa, wapo wenzetu hawataki hata kusikia hiyo habari.
Kwa wale wanaohitaji kuoa/kuolewa, ni kweli kati ya 25-35 yrs ndio umri mzuri wa kuingia ndoani.
Eeeh mydear naona umefutwa ht mimi siuoni. Nilikuwa nimeshaagiza popcorn..
One mans trush is another man gold..usiangaike na watoto hawa majukum hawajui.shem darling fanya fanya basi jamani, au unataka niendelee kuaibika mwenzio?
Hulijui hilo jukwaa?? Bado mtoto subiri ukuekueMwe!kuna jukwaa lawakubwa kumbe!na ww upo!huhu! nimecheka sana yule dada kichwa gas kbs aic! ht ule wa mbalizi siuon eti! hahhah shoga ukakosa maneno hahahah nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mmh wewe sema kweli?One mans trush is another man gold..usiangaike na watoto hawa majukum hawajui.
I love you heaven sent
Vivuruge uzi gani tena? mweehMwe!kuna jukwaa lawakubwa kumbe!na ww upo!huhu! nimecheka sana yule dada kichwa gas kbs aic! ht ule wa mbalizi siuon eti! hahhah shoga ukakosa maneno hahahah nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ha haaa wivu wa nini jamaniii? Wangeuhamishia jukwaa la wakubwa ingenoga zaidi
Sister alialika watu tumuinterview..tukajimwaga pale mara uzi ukadisappearVivuruge uzi gani tena? mweeh
Ukifika hapo bila bila ujue uzee unakunyemelea na brand yako inaanza kupoteza soko. Hapo kuolewa ni majaliwa na ndiyo maana wengi katika age hiyo huwa hawabagui sana wanaume. Huwezi kusikia tena.. Oooh.. awe handsome,,, maji yakunde sijui shombe, mara mrefu 6.5ft etc etc... Ikifika 40 ndo kabisa hata 2.2ft anakubalika...Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh niliupita tu sikuusomaSister alialika watu tumuinterview..tukajimwaga pale mara uzi ukadisappear
Since day uno, nimekuwa mkweli kwako.Mmh wewe sema kweli?
Vivuruge uzi gani tena? mweeh
Niliuona ila nikawa sijaufungua, teh kama nakuona ulivyochekaweee kuna mdada anajiita Retired Sister !ameanzisha uzi umuulize chcht kuhusu wanaume!shoga nimechekla had machozi! amefungukaaaaaaaaaaaaaaa! mwe ulikua mtam anajibu mkavuuu!kha