Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
We kumbe uko nje ya sensa, kila akiolewa kwa na nwanaume mmoja wanabaki karibia robo nzima ya wanawake.

Ningekuelewa ungewashauri wakubali kuolewa wakiwa zaidi ya mmoja kwani wao wanapenda kumiliki mwanaume akiwa peke yake.


Wapambane tu na hali zao, ndoa siku hizi hazipo
 
Niliuona ila nikawa sijaufungua, teh kama nakuona ulivyocheka


yaan nhatar sana aic!upo mwingine refresh utauona ! ananaga waume wachafu lol!anakuambia boss wa mumew ndo

chepuko lake!akiishiwa hela anamwambia nimemis njunji!hehehee
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?



Sent using Jamii Forums mobile app
Inafikiaga kipindi ukishavuka 30 wewe mwenyewe huna amani moyoni
 
Dah aisee. Wanaoingia kwenye ndoa kwa kuangalia umri nawaonea huruma sana maana wataenda kuboronga lazima. Kila la kheri kwao!
Nadhani ndoa ni mkataba wa maridhiano, na mkataba safi hautakiwi kuwa na impurities zozote. Ufanyike kiroho safi baina yenu mkiwa mpo tayari kiuhakika!

Ukitaka kuolewa ili tu uonekane ufurahishe kijiji...au kuolewa ili upunguze ugumu wa maisha ulishwe bure...au kwa sababu umefika miaka flani na mwenzo kashaolewa we bado...ama aina yoyote ya ubinafsi basi jua baada ya kutimiza azma yako soon yataanza matatizo ya ndoa na mifarakano isioeleweka tu. Na utashindwa kuhimili mwisho utavuruga maana nzima ya ndoa.
 
Unakuta mtu kilaza hajui kufikiri changamoto za maisha, hajitumi, visionless na chagua chagua kutaka mme mwenye kila kitu. Mpaka mtu agonge 45 ndio wanazinduka hawa.

Acha wasibadilike watamaliza nyumba zote za ibada kukemea ujinga wao wenyewe.

Kuna vibinti vizuri hatari vina maliza chuo kila siku 23 - 25 of age, what makes a woman think yuko peke yake. Huwa siwaelewagi u kno. [emoji16]
I see watu waliolewa na 26yrs walipimaliza tu chuo mpaka mtu anafukisha 34kafungiwa kwa mume no kazi no business maisha gani hayo wadada tafuten maisha kwanza waume mtawapata hata wajane chaaaa
 
Unakuta mtu kilaza hajui kufikiri changamoto za maisha, hajitumi, visionless na chagua chagua kutaka mme mwenye kila kitu. Mpaka mtu agonge 45 ndio wanazinduka hawa.

Acha wasibadilike watamaliza nyumba zote za ibada kukemea ujinga wao wenyewe.

Kuna vibinti vizuri hatari vina maliza chuo kila siku 23 - 25 of age, what makes a woman think yuko peke yake. Huwa siwaelewagi u kno. [emoji16]
Wee jamaa ngoja waje, litakalo kukuta kashifa yake na malipo yake ni zaidi ya makanikia broo
 
Kuna vita unainunua Tembosa, hakika utalipwa hapa hapa, subiri tu[emoji12]

Anyway, lifestyle ya mwanadamu inabadilika kutokana na mazingira na nyakati anazoishi, kwa sasa kuoa/kuolewa sio kipaumbele kwa kila mtu, wakati wengine tunaona kuishi na mtu karibu yako ni faraja kubwa, wapo wenzetu hawataki hata kusikia hiyo habari.

Kwa wale wanaohitaji kuoa/kuolewa, ni kweli kati ya 25-35 yrs ndio umri mzuri wa kuingia ndoani.
Tamko la shirika la afya duniani WHO

Kuishi bila mwenza ni disorder mkuu
 
Wee jamaa ngoja waje, litakalo kukuta kashifa yake na malipo yake ni zaidi ya makanikia broo

Hee kwani uongo ?? Katajwa mtu kwani. Inshort kama mtu anajijua she needs to CHANGE !!

Sent from Oxford Circus, London. UK
 
Hakuna aliyesema ndoa si muhimu. Ni muhimu kwa ambao tayari wameamua kuingia kwenye ndoa kwa mapenzi yao na si kuwafanya watu waingie kisa tu umri umeenda. Akiolewa akafanya madudu mnaanza kumponda. Not fair
Mashairi haya ndio yamewapoteza wengi sana
 
Back
Top Bottom