Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka 45 yrs unaanza menopause
Hulijui hilo jukwaa?? Bado mtoto subiri ukuekue
We kumbe uko nje ya sensa, kila akiolewa kwa na nwanaume mmoja wanabaki karibia robo nzima ya wanawake.Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Niliuona ila nikawa sijaufungua, teh kama nakuona ulivyocheka
Inafikiaga kipindi ukishavuka 30 wewe mwenyewe huna amani moyoniHuwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ndoa ni mkataba wa maridhiano, na mkataba safi hautakiwi kuwa na impurities zozote. Ufanyike kiroho safi baina yenu mkiwa mpo tayari kiuhakika!Dah aisee. Wanaoingia kwenye ndoa kwa kuangalia umri nawaonea huruma sana maana wataenda kuboronga lazima. Kila la kheri kwao!
I see watu waliolewa na 26yrs walipimaliza tu chuo mpaka mtu anafukisha 34kafungiwa kwa mume no kazi no business maisha gani hayo wadada tafuten maisha kwanza waume mtawapata hata wajane chaaaaUnakuta mtu kilaza hajui kufikiri changamoto za maisha, hajitumi, visionless na chagua chagua kutaka mme mwenye kila kitu. Mpaka mtu agonge 45 ndio wanazinduka hawa.
Acha wasibadilike watamaliza nyumba zote za ibada kukemea ujinga wao wenyewe.
Kuna vibinti vizuri hatari vina maliza chuo kila siku 23 - 25 of age, what makes a woman think yuko peke yake. Huwa siwaelewagi u kno. [emoji16]
Wee jamaa ngoja waje, litakalo kukuta kashifa yake na malipo yake ni zaidi ya makanikia brooUnakuta mtu kilaza hajui kufikiri changamoto za maisha, hajitumi, visionless na chagua chagua kutaka mme mwenye kila kitu. Mpaka mtu agonge 45 ndio wanazinduka hawa.
Acha wasibadilike watamaliza nyumba zote za ibada kukemea ujinga wao wenyewe.
Kuna vibinti vizuri hatari vina maliza chuo kila siku 23 - 25 of age, what makes a woman think yuko peke yake. Huwa siwaelewagi u kno. [emoji16]
Ooh kumbe! Hebu nikazitafute mie!Siku hizi kuna sawa za Ku extend vibibi vya 65 bado havijafikia menopause. Dunia ya sasa maisha yamerahisishwa sana.
Its either you are early or your late. Theres nothing like on time!Kuolewa on time ndio umri upi?
We umeoa?
Tamko la shirika la afya duniani WHOKuna vita unainunua Tembosa, hakika utalipwa hapa hapa, subiri tu[emoji12]
Anyway, lifestyle ya mwanadamu inabadilika kutokana na mazingira na nyakati anazoishi, kwa sasa kuoa/kuolewa sio kipaumbele kwa kila mtu, wakati wengine tunaona kuishi na mtu karibu yako ni faraja kubwa, wapo wenzetu hawataki hata kusikia hiyo habari.
Kwa wale wanaohitaji kuoa/kuolewa, ni kweli kati ya 25-35 yrs ndio umri mzuri wa kuingia ndoani.
Wee jamaa ngoja waje, litakalo kukuta kashifa yake na malipo yake ni zaidi ya makanikia broo
Subiri yakukute ndio utajua nini wadau wanamanishaKwenye ndoa kuna nini kwani? Aibu inatoka wapi?
MBITIYAZA
Hichi kigezo kimekua maalufu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanikute wapi ndugu? Nishavuka hizo ageSubiri yakukute ndio utajua nini wadau wanamanisha
Mwenye thread kasema on timeIts either you are early or your late. Theres nothing like on time!
Mashairi haya ndio yamewapoteza wengi sanaHakuna aliyesema ndoa si muhimu. Ni muhimu kwa ambao tayari wameamua kuingia kwenye ndoa kwa mapenzi yao na si kuwafanya watu waingie kisa tu umri umeenda. Akiolewa akafanya madudu mnaanza kumponda. Not fair