Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Unapotafuta wa kukuzalishaWengi hawataki kuolewa siku hizi hivyo sio aibu kutoolewa hasa wasomi wa vyuo vikuu na wenye kazi
Wao watatafuta wa kuwapa mimba na kuzaa tu na haja yao ni mtoto basi hivyo hakuna aibu
Lakini pia tusisahau kuna jambo la Mungu kwani kuolewa ni kama rizki kutoka kwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana we ni inkyubeta ya kutotolea mayai, baada ya miaka ishirini dogo anakuchenjia anamtaka baba, hapo ndipo mnapoanza kuwalani kwa kusema baba yako alishakufa. Mtoto anaishi maisha ya uatima huku wazazi mmetimiaa