Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Nafikiri kutimiza andiko haijawahi kuwa mapenzi ya mtu, bali maandiko yatimizwe
Maandiko hayajalazimisha kila mtu aoe au kuolewa. Upo mstari ambao unawatambua wasiotaka kuingia kwenye ndoa. Tuache kucomplicate maisha, tuishi kawaida
 
Kuna mmoja kaniambia eti Mungu bado hajamuonyesha mtu wake, hivi kweli Mungu kakuambua uchambue kama karanga wanaume wanaojitokeza? Labda fanya hivi wakija wanaume watatu, wajumlishe pamoja ugawe kwa tatu wastani wake ndie mtu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao hao
Nakupenda hivyo hivyo na miaka yako
Ila sasa zaa ili ukiumwa walau uwe na kukusogezea maji
Nitafute jioni tupige shoo pale pale pa siku zile [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
I think I wanna marry you?

Siku nikioa nitafurahi sana na nitampenda saana mke wangu maana ndo nitakuwa nimepata mbavu zangu zilizopoteaga zamani.

Everything is under control I'm waiting for here sema nadhani GPS yake imevunjika ndo sababu mpaka sasa bado hatuonani kama yumo humu JF please hit my Pm. Wherever you are swry lady nakusubiri patiently.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mleta mada,wewe bado ni mwanadamu na unaishi,huenda unao watoto au utapata watoto,wakiwemo wa kike,umesema na Mungu aibu hii isikukute? Achilia mbali kwa Madada zako hata wawe wa ukoo.na usisahau hata watoto wa kiume wanaweza wakakudodea wasioe pia,je nalo hilo ni zuri ?hili sio la kuona niaibu kwa kindi fulani tu leo kwakua halijakugongea hodi.waliofikwa hawakuyataka ! Ombea wanaofikwa na mabaya na kuwahurumia.baya lolote halimpendezi yeyote.barikiwa kwa kutufundisha.

Its biblical...
 
Back
Top Bottom