tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Poa ngoja aje.Mkuu......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Huu sasa ni uchochezi
Ebu tusubirie akuje na jibu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa ngoja aje.Mkuu......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Huu sasa ni uchochezi
Ebu tusubirie akuje na jibu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nafikiri kutimiza andiko haijawahi kuwa mapenzi ya mtu, bali maandiko yatimizweNi kweli unachosema. Basi waolewe kwa mapenzi na si kwa pressure.
Mungu wakati kilometa zinasoma?Aibu vipi mkuu na siku yako haijafika Mungu ndio anaepanga
Maandiko hayajalazimisha kila mtu aoe au kuolewa. Upo mstari ambao unawatambua wasiotaka kuingia kwenye ndoa. Tuache kucomplicate maisha, tuishi kawaidaNafikiri kutimiza andiko haijawahi kuwa mapenzi ya mtu, bali maandiko yatimizwe
Ata kama kilometa zinasoma hajatokea wa kukuoa ukajipange bara barani na mabango nataka kuolewa auMungu wakati kilometa zinasoma?
Na mwanamke asipoolewa ila akaoa je, hapo vipi?Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Sasa ukizidi kuisomesha kilometa, nani ataichukua>?Ata kama kilometa zinasoma hajatokea wa kukuoa ukajipange bara barani na mabango nataka kuolewa au
Sio lazima wote waolewe mkuu hilo unatakiwa ulitambueSasa ukizidi kuisomesha kilometa, nani ataichukua>?
Teh teh, wewe utabaki kuwa sis darling na tutaenda wote mikesha. Hata hivyo kuna sixth sense imeniambia wewe tayari upo kwenye "taasisi ya maumivu".shem darling fanya fanya basi jamani, au unataka niendelee kuaibika mwenzio?
Na we ndo umekuta hilo kundi?! make sidhani ka hupendi kuolewa from the bottom of ur hrt.Sio lazima wote waolewe mkuu hilo unatakiwa ulitambue
Achana nao haoHuwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Its biblical...Ila mleta mada,wewe bado ni mwanadamu na unaishi,huenda unao watoto au utapata watoto,wakiwemo wa kike,umesema na Mungu aibu hii isikukute? Achilia mbali kwa Madada zako hata wawe wa ukoo.na usisahau hata watoto wa kiume wanaweza wakakudodea wasioe pia,je nalo hilo ni zuri ?hili sio la kuona niaibu kwa kindi fulani tu leo kwakua halijakugongea hodi.waliofikwa hawakuyataka ! Ombea wanaofikwa na mabaya na kuwahurumia.baya lolote halimpendezi yeyote.barikiwa kwa kutufundisha.
Sent using Jamii Forums mobile app