Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Hahahah mi naonaga kawaida tu tena waume huwa hatungaga presha, ila mademu ndio wenyewe mnaosheana kutokana na kucheza kwaito kwenye shughuli za wenzenu. Kila mmoja anarudi kwa boy wake na kuanza kulazimisha hilo swala wengine ndio wanaoa kishingo upande harusi ikishapita vurugu haziishi mjengoni!
Dah aisee. Wanaoingia kwenye ndoa kwa kuangalia umri nawaonea huruma sana maana wataenda kuboronga lazima. Kila la kheri kwao!
 
Kuna vita unainunua Tembosa, hakika utalipwa hapa hapa, subiri tu[emoji12]

Anyway, lifestyle ya mwanadamu inabadilika kutokana na mazingira na nyakati anazoishi, kwa sasa kuoa/kuolewa sio kipaumbele kwa kila mtu, wakati wengine tunaona kuishi na mtu karibu yako ni faraja kubwa, wapo wenzetu hawataki hata kusikia hiyo habari.

Kwa wale wanaohitaji kuoa/kuolewa, ni kweli kati ya 25-35 yrs ndio umri mzuri wa kuingia ndoani.
shem darling fanya fanya basi jamani, au unataka niendelee kuaibika mwenzio?
 
kuna mmoja anaelekea 32 mie nipo below yeye namfukuzia amenikataa
 
Mwe!kuna jukwaa lawakubwa kumbe!na ww upo!huhu! nimecheka sana yule dada kichwa gas kbs aic! ht ule wa mbalizi siuon eti! hahhah shoga ukakosa maneno hahahah nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hulijui hilo jukwaa?? Bado mtoto subiri ukuekue
 
Mwe!kuna jukwaa lawakubwa kumbe!na ww upo!huhu! nimecheka sana yule dada kichwa gas kbs aic! ht ule wa mbalizi siuon eti! hahhah shoga ukakosa maneno hahahah nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Vivuruge uzi gani tena? mweeh
Ha haaa wivu wa nini jamaniii? Wangeuhamishia jukwaa la wakubwa ingenoga zaidi
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?



Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika hapo bila bila ujue uzee unakunyemelea na brand yako inaanza kupoteza soko. Hapo kuolewa ni majaliwa na ndiyo maana wengi katika age hiyo huwa hawabagui sana wanaume. Huwezi kusikia tena.. Oooh.. awe handsome,,, maji yakunde sijui shombe, mara mrefu 6.5ft etc etc... Ikifika 40 ndo kabisa hata 2.2ft anakubalika...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom