Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

Kwa Mwanaume kuchepuka Kuna kuwa na cost implications.

Kwa Mwanaume kuchepuka kunapelekea fedha ya familia kupotea bure!

Sasa wakati mke anakusanya na kujali maendeleo ya familia mume yeye hela yake wnatapanya kwa michepuko, je hiyo ni haki?

Kwa hiyo mke anatakiwa atie akili kwa kuamua kwenda kuanza maisha yake?!
 
Nyie ndugu zangu wanaume mnaosema hamchepuki na mna hofu ya Mungu huwa nawakuta huku JF tu.

Mtaani hali ni tofauti. Mwisho wa yote kila mtu na maamuzi yake, ingawa ni ngumu sana kwenda kinyume na asili.
 
Baba Mtakatifu (Papa) juzi ndo alitupiga Wakatoliki kwa kitu chenye ncha kali kichwani eti kuzini ukiwa ndani ya ndoa siyo dhambi kubwa.
Nashauri Biblia ifanyiwe marekebisho na kuongezwa Sentesi kama hizi ili Ndoa ziwe zinadumu
 
Kuna Mchungaji fulani aliwahi kusema amekuwa akikutana na wanawake wa ndoa ambao wamekuwa kwenye migogoro ya ndoa na waume zao ya mara kwa mara .

Akasema amekuja kuona wanawake wengi kwenye ndoa wanapoona mambo yamezidi sababu ya Umalaya wa wanaume zao huamua kumuomba Mwenyezi Mungu awachukue wanaume wao wa ndoa.

Imagine [emoji848][emoji848]

Sasa kama inafika hapo si bora watu waachane ili kila mtu awe huru na maisha yake?

Kuliko kung’ang’ania kuishi pamoja kwa ku-pretend na unafiki ili hali moyoni mwa mwanamke kuna chuki na sononi sababu ya Umalaya wa mume wake!
 
Michepuko mingi haipo after mapenzi ya dhati na kuridhishwa sijui nini!

Michepuko mingi yenyewe ipo after fedha [emoji108][emoji108] [emoji385][emoji389][emoji389][emoji383]

Ni michepuko wachache sana ambao huwa na mapenzi ya kweli na ya dhati.

Sikatai wapo lakini wachache.

Na in the first place kuweza kujua kama huo mchepuko una mapenzi ya dhati kigezo cha kwanza ni kutohitaji fedha.

Halafu added advantage ya mchepuko wa kike usiohitaji pesa ni kuwa hata kwenye mambo ya uchawi na ushirikina huwa hawanaga habari nayo kabisa.

Sasa kwa wale michepuko wapenda hela na wasio na kazi ushirikina na uchawi kwao ni inevitably wakiamini kumshika Mwanaume asiponyoke akastuka na kurudi kwa mkewe au kutafuta mwanamke mwingine!

Na hapo ndipo tatizo kubwa lilipo sababu wanachowaza ni kuleta faraka ndani ya nyumba ili ndoa ivunjike apewe yeye nafasi ya kuingia ndani ya ndoa.
 
Katika kitu ambacho siamini saivi ni mchepuko dah
 
Asante sana!! Nakazia
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiki kitu ni sahihi, wanawake wana wivu sana kushinda wanaume, kwa hiyo huwa wanaumia na kujenga chuki kubwa sana, ukiugua anaweza akakumalizia tu😀

Nilishuhudia sehemu mke anaficha dawa za mume wake aliyekuwa anaumwa sana, Jamaa alifariki dunia., mke alikuwa na chuki sababu jamaa alioa wake wengi.
 
Yeah!
 
Kwahiyo KUCHEPUKA HALALI??‽ Bora WAKACHEPUKE WOTE TUUUUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…