Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

Mnachepuka mpk mnashindwa kulala na wake zenu sijui mnapotea hisia au mnarogwa!?

Mnaharibu ndoa zenu kwa mikono yenu kwanini msiachwe?


Wanarogwa sana.

Michepuko mingi hasa ile tegemezi jobless au wenye kipato duni cha mashaka kazi yao uganga na uchawi kuwashika wanaume za watu. [emoji108][emoji108]

Wanafahamu kuwa bila kutumia nguvu ya ziada ya giza mwanaume atamuacha kisha atakula na kuishi vipi ?

Halafu ule uchawi anaofanyiwa unaunganishwa na mkewe wa ndoa kwamba wakifika kisieleweke , wasifurahie tendo na ikibidi wakinahiane kabisa.

Wanawake wengine wa ndoa wanaathiriwa mpaka maswala yao ya uzazi sababu ya uchawi wa michepuko kupitia mumewe.

Ndiyo maana Maandiko Matakatifu yameonya sana kuwa mwanamke mchawi asiachwe kuishi maaana huwa ni mharibifu wa maisha ya watu.
 
Yani kumbe Eti michepuko wengi hasa wale jobless au wenye kipato duni motives yao kubwa ni kuhakikisha kuwa mume wa mtu wanaachana na mkewe ili yeye apewe nafasi ya pili kuingia kwenye ndoa kuziba pengo la kuondoka kwa mke [emoji108][emoji108]

Sasa Mwanaume hujiulizi na kuona kuwa huyo ni adui mkubwa wa ndoa na familia yako?

Mtu ambaye anatamani kusikia akiamka umeachana na mkeo au mkeo hayupo kabisa yeye atafurahi na kula kuku huoni ni adui na mchawi wa ndoa yako na familia yako kwa ujumla.
 
Mchepuko ambao siyo rahisi kufikiria kumroga mume wa mtu au Mwanaume yeyote hata kama hajaoa bado ni wale wanawake ambao wako na uchumi wao huru .

Wanaweza kuishi na kujifanyia maendeleo hata ya mali zisizohamishika bila support ya Mwanaume.

Kwanza kwa nini umroge Mwanaume na kumfanyia uganga?

Kama mna mapenzi ya kweli Kwanini usiache yenyewe yafanye kazi ya kuwaweka pamoja na kuelewana?
 
Mi hata nichepuke mapenzi yanakuwa pale pale hata muhisika hawezi gundua,ila ninaponigewa akili ndo zinakuwa uko kwa sana, kina viumbe vinajua kugonoka aisee,
 
Iliwekwa vile ili iwe fundisho kwa sisi kuepuka kufanya vile wao walifanya.

Sababu mwisho wa yale walofanya waliona ni ubatili mtu na sawa na kujilisha upepo.

Ni madhara gani yaliwakuta hadi iwe fundisho kwa wengine?
 
Ni madhara gani yaliwakuta hadi iwe fundisho kwa wengine?


Mpaka wakafika mahala pa kuanzimia kwa kusema kuwa mambo yote ni ubatili mtupu na sawa na kujilisha upepo ujue yaliwafika mazito .
Ukipata muda yasome
Maandiko utaweza kufahamu zaidi.
 
Mkichepuka nyie ni nature...Tukichepuka siye ni malaya..

Ndo mana mnakufa haraka ...idiot
Dah yaani wewe kuitwa malaya kunakufanya usiishi utakavyo....this is not ryt. Wee kama wapenda migegedo enjoy tuu majina yasikukatili starehe pendwa duniani
 
Du!!!,hatari kubwa hiyo
 
Mk
Mkuu una uhakika hujawahi kuchepuka.
Ina mana tokea uzaliwe umeshalala na mwanamke mmoja tu na haijawahi kulala hata na wawili kweli.
Haya nafsi yako inakuona ama inakusuta.
Unaambiwa nj asili wewe unalalama na uumbaji kwani Suleiman hakuwa na hofu mkuu.hebu acha ushabiki wa kilokole kuonekena kuwa haupendi disco wakiwepo viongozi wako wa kabisa Ila wakipotea unajipa mwenyewe.
Binadamu Kuna vitu hawezi pambana navyo na akavishinda
 
Mie ndio maana nasema ukichepuka kagegede malaya tuu
 
Mpaka wakafika mahala pa kuanzimia kwa kusema kuwa mambo yote ni ubatili mtupu na sawa na kujilisha upepo ujue yaliwafika mazito .
Ukipata muda yasome
Maandiko utaweza kufahamu zaidi.

Waliazimia.!! Wapi waliazimia na kutoka na tamko hilo kwa pamoja?

Ninachojua hiyo ilikuwa kauli ya Suleimani [Mhubiri] na haihusiani na wake wengi.
 
MFALME Daud yule wa Israel

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…