Mwanamke wa aina gani anafaa kuwa naye kwenye mahusiano?

Ahsante sana brother
 
Jifunze kuwa na furaha binafsi kabla ya kuwa na mahusiano na mtu yeyote kwanza, maana ukitegemea yeye ndio akupe furaha atamtesa kwasababu wewe mwenyewe hauna furaha binafsi.
Jipende, jithamini, jishughulishe ili uwezo kujua thamani yako na mtu yeyote asikupelekeshe.

Nahisi swali ulitakiwa useme vigezo gani ni vya msingi kuviangalia wakati wa kutafuta mke.
1.Mara nyingi Mungu atakupa wakufanana nae
Mfano:
Kuna jamaa wetu alitoka kwenye engagement yake akapita sehemu kununua malaya acha akutane na yule mdada aliyetoka kumu engage.
Huwezi taka kupata mume mwema wakati wewe ni muovu. Jisafishe matendo yako

2.Hofu ya Mungu, simaanishi awe ameshika dini sana, sema awe muoga wa kufanya mabaya, akifanya mabaya roho inamsuta , mkiwa mapitia shida ata sali na wewe na kutokukimbia, ukiweza kumpata wa hivi basi utakua umefaidika maana atakua mke mzuri, mlezi mzuri wa watoto wako pia mkwe mzuri kwa wazazi na ndugu zako.

3. Muelewa ila mkali
Muelewa kwamba akupe uhuru wak ila awe mkali kukemea upuuzi wako, basi atakufanya uwe na maendeleo.

Kuuliza sio ujinga ndugu yangu especially kwenye maswala ya msingi kama haya, ukikosea kuoa umefeli maisha.
 
Mwanamke ambaye anaweza kuyaishi mazingira ya mke bila kuwa msumbufu ndio anafaa huyo
Dah...we jamaa unakula ban kila wiki[emoji23][emoji23] huwa unafanyaje unakula ban za namna hii mzee?
 
Vijana mliozaliwa kuanzia 95-2005 inabidi muuawe tu maana hamna manufaa kwa jamii. Nini kazi ya kichwa kama hakikusaidii kwenye kufikiria na kufanya maamuzi yako binafsi?🚶🚶🚶

Mbona imekuwa ghafla hivi, looh! Hatujajiandaa mkuu.🤪

Lkn fresh tuueni 😎
 
Kaka kunanyingine zina umrimkubwa lakini Hazija zeheka maini ![emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…