Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana brotherNingekuwa wewe ningezingatia yafwatayo;
1. Je, ananipenda kweli au ananipendea hela zangu? Hapa nitafanya uchunguzi binafsi ikiwepo kumpitisha kwenye ukata wa kujitakia pamoja na ubaili tu wa makusudi ili nione atafanyaje.
2. Je, anamtazamo gani wa maisha ya kifamilia husuani kesho? Ni mtu ambaye kwake burudani na furaha za ujana ni muhimu kuliko kesho? Kwamba viwanja, shghuli na shosti zake ni muhimu kuliko kesho?
3. Anapenda kujishughulisha kiuchumi au ni wewe tu ndo mwenye kuleta hadi chumvi huku yeye akinenepesha chura? Kwamba atakusubiri mpaka urudi ndo utoe hela ulizopata kwenye mihangaiko ndo aanze kuandaa chakula?
4. Mtazamo wake kuhusu ndugu zako ni upi? Je anaonekana kuwa mtu ambaye ataiunganisha familia au atakutenganisha na ndugu?
5. Je, kuna vitu ambavyo mnawaza kwa kufanana au mnakubaliana? Hapa ni maadili na misingi za kifamilia labda namna mtakavyolea watoto na kuishi ndani.
6. Wewe mwenyewe unamuonaje? Ni mtu anayestahili heshima yako?
7. Vipi katika kutafuta wakati wa ugomvi, ni mtu wa namna gani? Anatumia njia zipi kufikisha ujumbe hususani anapokuwa ameghafirika na je anatumia njia gani kutatua mgogoro?
Ndoa ni zaidi ya mbususu.
Na yeye unajua hasa Kazaliwa mwaka gani.kama amedanganya utajuajeKwani wajua nimezaliwa mwaka gani??🤔
We ulisikia wapi?Follow me..😊
Dah...we jamaa unakula ban kila wiki[emoji23][emoji23] huwa unafanyaje unakula ban za namna hii mzee?Mwanamke ambaye anaweza kuyaishi mazingira ya mke bila kuwa msumbufu ndio anafaa huyo
Vijana mliozaliwa kuanzia 95-2005 inabidi muuawe tu maana hamna manufaa kwa jamii. Nini kazi ya kichwa kama hakikusaidii kwenye kufikiria na kufanya maamuzi yako binafsi?🚶🚶🚶