Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Umetukanwa na mume pole....Wapendwa hv inatokeaje mwanaume akipishana kdg na mkewe anamuita wewe Kama Mwanamke wa bar..Halafu kibaya zaid Huyo mwanamke anatusiwa mbele ya mkwe wake..Wat kind of day man??na ukiambiwa it's not a first time..Wat hell ov dis guysss
Huyu jamaa sijui niaje kaja kunisemelezea kabisa.Hahahaha
Hahahaha, itakua anakufahamu vzr ,we MTU mkubwaHuyu jamaa sijui niaje kaja kunisemelezea kabisa.
Mambo ya uchaguzi anayaleta huku.
Mwanaume bora ni yule anayelowanisha chupi ya mwanamke hata akiwa mbali na si anayefanya mwanamke adondoshe machozi na kuwa na sononeko.Seems wewe ndio ulilazimisha ndoa, haya ndio matokeo yake. Unaanzaje kumfananisha mkeo na mtu mwingine? Ungemuuliza barmaid wa bar gani?? Kuna barmaids ni visu balaa....kwa hio take it positively.
Kwani alichokiandika ni sahihi? Inaelekea wewe pia unanifahamu vizuri eti?Hahahaha, itakua anakufahamu vzr ,we MTU mkubwa
Dah! Hii Kali sana! Nimeipenda ila sasaMwanaume bora ni yule anayelowanisha chupi ya mwanamke hata akiwa mbali na si anayefanya mwanamke adondoshe machozi na kuwa na sononeko.
Nimeandika nikafuta maana navuta pichaMwanaume bora ni yule anayelowanisha chupi ya mwanamke hata akiwa mbali na si anayefanya mwanamke adondoshe machozi na kuwa na sononeko.
Hahahaha, hapanaKwani alichokiandika ni sahihi? Inaelekea wewe pia unanifahamu vizuri eti?
Kuna wanaume wajinga wajinga.Nimeandika nikafuta maana navuta picha
Sasa na wewe kwa nini unashabikia mimi kugombanishwa na maboss hapa mjinii?Hahahaha, hapana
Sijui mimi nipo wapi hapo! Ngoja nijifanyie tathminiKuna wanaume wajinga wajinga.
Wanaona kutoa maneno ya kejeli na kuwa mbabe ndo uanaume.
BaitHahahaha, huyo mumeo hakupendi
Nachukia wanaume wasiowapenda wake zao
Mke wangu alivyo mzuri ,navyompenda nimuite "wewe" hapana
Pole sana. Huyo mume wako hafanyi vizuri kukufanyia hivyo. Wengine hatuko hivyo. Kama mmetofautiana, tofauti hizo zimalizwe mkiwa wawili na si mbele ya watoto au watu wengine.Wapendwa hv inatokeaje mwanaume akipishana kdg na mkewe anamuita wewe Kama Mwanamke wa bar..Halafu kibaya zaid Huyo mwanamke anatusiwa mbele ya mkwe wake..Wat kind of day man??na ukiambiwa it's not a first time..Wat hell ov dis guysss
Nisamehe, asee kwa hili nimekosea nakiri kosaSasa na wewe kwa nini unashabikia mimi kugombanishwa na maboss hapa mjinii?
Nimekusamehe.Nisamehe, asee kwa hili nimekosea nakiri kosa
Mkuu unabadirishia gia angani,zamani huko Kuna kathread kuhusu bwana yule kutolipa salaries ukasema,niacheni muhaya wanguuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa nini unataka kunigombanisha na matycoon?
Nikikatwa vidole utani saidia wewe kutafuta ugali wa wanangu?
Mimi simfahamu huyo mtu bana nimesoma tu malalamiko ya watu na hiyo tuhuma ya TAKUKURU.