Mwanamke wa bar anafananaje?

Mwanamke wa bar anafananaje?

Seems wewe ndio ulilazimisha ndoa, haya ndio matokeo yake. Unaanzaje kumfananisha mkeo na mtu mwingine? Ungemuuliza barmaid wa bar gani?? Kuna barmaids ni visu balaa....kwa hio take it positively.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wapendwa hv inatokeaje mwanaume akipishana kdg na mkewe anamuita wewe Kama Mwanamke wa bar..Halafu kibaya zaid Huyo mwanamke anatusiwa mbele ya mkwe wake..Wat kind of day man??na ukiambiwa it's not a first time..Wat hell ov dis guysss
Umetukanwa na mume pole....
 
Seems wewe ndio ulilazimisha ndoa, haya ndio matokeo yake. Unaanzaje kumfananisha mkeo na mtu mwingine? Ungemuuliza barmaid wa bar gani?? Kuna barmaids ni visu balaa....kwa hio take it positively.
Mwanaume bora ni yule anayelowanisha chupi ya mwanamke hata akiwa mbali na si anayefanya mwanamke adondoshe machozi na kuwa na sononeko.
 
Wapendwa hv inatokeaje mwanaume akipishana kdg na mkewe anamuita wewe Kama Mwanamke wa bar..Halafu kibaya zaid Huyo mwanamke anatusiwa mbele ya mkwe wake..Wat kind of day man??na ukiambiwa it's not a first time..Wat hell ov dis guysss
Pole sana. Huyo mume wako hafanyi vizuri kukufanyia hivyo. Wengine hatuko hivyo. Kama mmetofautiana, tofauti hizo zimalizwe mkiwa wawili na si mbele ya watoto au watu wengine.
 
Nisamehe, asee kwa hili nimekosea nakiri kosa
Nimekusamehe.
Lakini hii ni mara ya pili au ya tatu unashabikia sana nikiandikwa vibaya humu.

Anyway kuhusu huyo mtu wako uliyemshabikia juu hapo tulikuwa kwenye uzi wa updates za uchaguzi.
Mimi si mpumbavu wa kushiriki kampeni na kuandika hadharani dirty tactics za huko.
Kushiriki kampeni maana yake ni kumpigania mtu kwa hali na mali sasa siwezi kumpigania mtu na kuja kumwandika huku.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa nini unataka kunigombanisha na matycoon?
Nikikatwa vidole utani saidia wewe kutafuta ugali wa wanangu?

Mimi simfahamu huyo mtu bana nimesoma tu malalamiko ya watu na hiyo tuhuma ya TAKUKURU.
Mkuu unabadirishia gia angani,zamani huko Kuna kathread kuhusu bwana yule kutolipa salaries ukasema,niacheni muhaya wanguuuu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom