Mara utaskia waziri fulani kakosea no mara balozi fulani nae kakosea no,like that, like that mara upande mwingine kilio mara mvulana wa f2 au wa chuo nae kakosea no. Dunia ndo ilivyo watu na bahati zao wengine mikosi ndo hivyo.
Waswahili husema raha jipe mwenyewe kwa hiyo kilichonisuka ni mapenzi binafsikipi kilichokusukuma kutaka waarabu?
Makundi matatu na wewe umeelezea moja tu ambalo moja kwa moja sina sifa za kukabiliana naloOk sawa kaka mkubwa mabinti wa kiarabu wapo katika makundi matatu,kundi la kwanza hawa ni wale high class sifa yao kubwa ni matajiri sana washika dini haswaa na tayari waume zao washaandaliwa mapema na asilimia kubwa wanaolewa wakiwa na umri mdogo tena wakiwa bikra
Pemba nakuja nilikuambia nipm huwa nafikia chakechake pia natarajia wiki hii nitakuwa hukoWe Si nilishakuambia uje huku Kwetu Pemba wapo kibao ila usiwe mla Mbuzi Katoliki la Paji lako la Uso liwe na kialama kama shilingi cheusi Sigida... ukija tunakupa na unaondoka naye mahari ni Karai moja lililojaa Dhahabu... sie kama Wacomoro pia
DuhWaarabu nyodo ndo nyumbani kwao
huwezi sema natafuta mwanamke wa kiarabu halafu akakufuata pm
haitatokea...
waarabu hata ukiwa na pesa....lakini mswahili...kazi kuwapata unless wale wa kujiuza
wanajali sana familia gani unatoka....
ukooo upi.....ukoo wenu una umaarufu gani?
kooo zenye majina ya Al....Al Fuad,Al mansoor,....sio Mapunda sijui ....
Ok nimekupata sasa nenda mitaa ya ilala au zanzibar wapo wengi tuJamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe
Ok bila shaka we ni pure negro,je pesa unazo?hii itakuwa ni alternative ya wewe kuoa udongo wa Mtume.Waswahili husema raha jipe mwenyewe kwa hiyo kilichonisuka ni mapenzi binafsi
Naomba nieleweke kuwa natafuta mwanamke wa kiarabu ila kuoa au vyovyote itajulikana baada ya kufanya mawasiliano nayeOk bila shaka we ni pure negro,je pesa unazo?hii itakuwa ni alternative ya wewe kuoa udongo wa Mtume.
Kama unazo namba zao ni pm mkuumtafute nifah akupe namba ya bilali mashauzi,hao malonjo ndiyo mabingwa wa ukuwadi,kupitia hao ndonutampata kiulaini,
utachagua wa maana na waluwalu wale wanaokaa msasani bonde la mpunga
kuna mtto mmoja chotara anaitwa jenifa.baba mwarabu mama mtanga wa muheza.acha kabisa huyo mtoto.
Mradi awe mwarabu tu original