Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 860
- 544
Wanawake wa Kichaga ni wa moto...
Sosi: MMU
Alah kumbe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wa Kichaga ni wa moto...
Sosi: MMU
Alah kumbe!
Eli79 mie nalielewa hilo in & outWanawake wa kichaga ndo mpango mzima... Heaven on earth kama ulijua vile.
Kwa wana vituko..Haipiti wiki bila mchaga kutajwa, kwa nini?
Hommie, kikombe alichokupa baba hutakinywa? Mwambie akupe maji unywe....
si nasikia hawana ufundi wowote..kwa bed
nawe ni mchaga mae?Mtoto halali na hela cos were the top in town......
nawe ni mchaga mae?
Kama wewe ni Mchaga hebu niambie natakiwa kuleta ng'ombe wangapi kwa ajili ya mtoto wangu wa kiume...
We unasikia lakini hujajaribu... Heaven on earth hebu mweleze wachagga walivyo! Hawa ni watani zangu afu soon-to-be my in-laws.
conversation zoooote bado hujalitambua tu kabila langu
aika sana.wazee wa nyama na wariiii...
aika sana.
mi sio mchaga ila tu kwakuwa wachaga wanahusudu sana ufugaji na pia kuila nyama itabidi ujiandae aisee maana usije ambiwa upeleke 30
hahahahaha
haya wamama wote: ngesi ngesi na kilawee
haya wababa:nyama nyama na wariiii
hahahahaha keleuwiiiii....