Mwanamke wa Kichaga.

Mwanamke wa Kichaga.

Wadau mmenipa mwanga wa wapi pakuanzia, Nawashukuru sana. Kwa wale niliokwisha wabaini kuwa ni wachaga humu jamvini jiandaeni kuniita SHEMEJI. Pande za kibosho kirima maeneo ya boro zinahusika sana, coz kuna chombo cha maana sana lazima nikiweke ndani. Ahsanteni wadau.
 
Back
Top Bottom