Mkuu naona umeniwahihaszu karibu kuna tangazo linakuhusu huku, inaweza ikawa ndio bahati yako ya mwisho kuolewa, usichezee hii nafasi
Ina sikitisha sanahaszu karibu kuna tangazo linakuhusu huku, inaweza ikawa ndio bahati yako ya mwisho kuolewa, usichezee hii nafasi
Yah mkuu, jambo jema ni lazima liwe jambo la jamii ili dada yetu nae apate staha ya kuolewaMkuu naona umeniwahi
kila la kheri mkuuAsalam Alaykum.
Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 28
Mrefu
Mwembamba
Muajiriwa.
Sina mtoto.
Sifa za mwanamke naemuhitaji
Muislam
Anaevaa stara.
Asiwe na mtoto.
Miaka 26 kurudi chini.
Asante tangazo hili ni kwa yule tu alie tayari kuingia kwenye ndoa ikiwa atapatikana nita-update tangazo kujulisha umma na kufunga ukurasa.
Mm nmelia sana, hapa wamama wa mtaa wamekuja na mazima kuninywisha Ili ninyamaze 🔥Ina sikitisha sana
Yuko dubaiHujataja mkoa uliopo.
Unatafuta mke au dini? Kama sifa ni uislam, angalie wasikuijie dada zako maana ndugu wa muislam ni muislam tunachezewaAsalam Alaykum.
Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 28
Mrefu
Mwembamba
Muajiriwa.
Sina mtoto.
Sifa za mwanamke naemuhitaji
Muislam
Anaevaa stara.
Asiwe na mtoto.
Miaka 26 kurudi chini.
Asante tangazo hili ni kwa yule tu alie tayari kuingia kwenye ndoa ikiwa atapatikana nita-update tangazo kujulisha umma na kufunga ukurasa.
Wewe Udini unakutesa sana yaani kila kitu mpaka uingize udiniUnatafuta mke au dini? Kama sifa ni uislam, angalie wasikuijie dada zako maana ndugu wa muislam ni muislam tunachezewa
Nimeangalia umri wako nikaona kwamba nimezeeka.Kwanini umesema hivyo mkuu?