Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Na mwanaume wa kinyamwezi akikupenda jua tu ubahili wake utakukimbizaππHabari zenu,
Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana.
Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma.
Ni hayo tu wanyamwezi ππππ―π―π―πππ
π π π π huwa nasikiaga Wanaume wa Kinyamwezi eti wanajua kupenda lakini shida ni wabahili sana.Na mwanaume wa kinyamwezi akikupenda jua tu ubahili wake utakukimbizaππ
Huyu hakua classmate wako mkuu??π€£π€£π€£Wanapenda ushirikina kwenye mapenzi hao mmoja alichukua Boxer yangu kaondoka nayo zahra mijicho ulaaniwe
alafu hii kweli wabahili na mwanangu mnyamwezi bahili kwa mwanamke sio poa yule manπ π π π huwa nasikiaga Wanaume wa Kinyamwezi eti wanajua kupenda lakini shida ni wabahili sana.
kAma warangi wamenifilimba zaman ctak kuwasikiaHaha hao akina kashindye wazuri ila washirikina sana
Acha kabisa yani ni bahiliπ π π π huwa nasikiaga Wanaume wa Kinyamwezi eti wanajua kupenda lakini shida ni wabahili sana.