lazima uelewe Tanzania haina uraia pacha hivyo kuoa au kuolewa siyo sababu ya mtu kupewa uraia.Mtu akitaka kupata uraia wa Tanzania inabidi akane uraia wake kuna fomu uhamihaji za kukana uraia ambazo zitapelekwa kwenye ubalozi wa nchi husika taratibu zitafatwa ikiwemo kunyang'anywa passport sema kuoa au kuolewa kunaweza kukusaidia pale unapotaka kupata uraia baada ya kufata taratibu zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.